Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

Ipi ni series pendwa

  • Breaking bad

    Votes: 14 53.8%
  • Games of thrones

    Votes: 13 50.0%

  • Total voters
    26
Jesse ni kiazi
 
Kabisa hii muvi inavyoanza unaweza kuidiss kumbe kadiri inavyoendelea inakuwa moto.. kuna yule mke wa Henk yule dada ameichezea vyema nafasi yake

Kuna kipande Jesse anafukuzwa mjengoni.. akaenda kwa jamaa yake apewe hifadhi ajipange, mwamba kamwambia safi tu sio case... Ha ha mke wa jamaa alivyorudi kibao kikabadilika aisee yule jamaa nilim-maindi

Picha linaanza alivyotoka room kuongea na mke wake... Kwanza jamaa akawa anajichekesha nakumbuka alimwambia Jesse...man you gonna kill me... Kilichofuta Jesse ikabidi abebe box lake aondoke huku anajipa moyo kuwa ana wana kibao mshkaji asiwaze
 
Kile kipande nili lia sana
 
πŸ˜‚
 
Hatari ndio ile wanasema siku ya kufa nyani miti yote inateleza...alimpigia simu mwanae Baja napo akaangukia pua.. mwisho akaenda kulala kwenye lile basi na hapo kachafuka full kunuka nnya

Mwamba yoπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Mzungu alikaa kwa kutulia kwenye hizi vyuma.
Tier 1 BB,Wire.
Tier 2 GoT, Vurumai za vita Series aka 24, Homeland

Naomba wakorea msikomenti. Hii ligi ni elite
Tommy shelby (peak blinders)
Duuuu life style lake naona kama diamond platinum anavyokusanya ndg zake katika kutafuta hela....sumaku (warembo wote mjini kawala)
NB.
Na wish na sisi tungekua na mavifaaa,pesa na waigizaji wazuri wamuigize (Simba) litakua bonge la pichaaa.
 
Mi naona mwanzo mwisho iko vizuri sanaa au labda kwa sababu napenda kucheka.

Wanafanya mauaji lakini in comedy way ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyamera akafanikiwa kuwatoroka.....jesse kutumwa vifaaa vya kuweka asidi Ili wapoteze ushahidi kaleta vidogo akaamua kutumia bathtub likayeyuka yaaaaan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚m ntairudia siiichoki.
 
Ha ha haaa. Mkuu umenikumbusha hiyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…