Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late


Kwa kweli mmekosa hoja, kwamba sasa mmekuja mkiomba muaminiwe tu on humanitarian grounds?

Kwani nyie ni UNHCR?
 
amewashika akili hadi mnaamni bila yeye hakuna chadema. mnahitaji maombi ninyi mfunguke akili.
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe @ work
 
Nipe record ya uongo ya Lissu ya miezi mitatu nyuma ili tujiaminishe
 
Kabisa Lissu ni mropokaji hafai uongozi CDM.
 
CCM itakuwa very relaxed akitoka kwenye uwenyekiti Mbowe. Lissu is very cheap politically, socially and financially! Hawa keyboard warriors wanaomuunga mkono ni kama artificial intelligence tu. Weeeeeeengi mitandaoni, lakini waite sasa wapige kura au waandamane na ndio utajua kumbe ni artificial intelligence! Ahahahahaha!
 
Kwa lipi na kwa kipi? 20 years kafanya nn cha maana zaidi ya kujinufaisha mwenyewe?
 
Kama FAM ndioyo mkweli ni aheri cha kife kuliko kuwa mali ya mtu mmoja.
 
Hekima nyingine ni za kijinga huwezi ukawa unahongwa RUSHWA ili uwe mpole lakini watu wako wanatekwa na kuuwawa.

Tunataka hekima za kijasiri kama za Lissu za kukataa RUSHWA na kuwasema hadaharani wala RUSHWA tunataka hekima za kuichukia RUSHWA.

Weka ushahidi ndugu mpiga chapa
 
Hekima nyingine ni za kijinga huwezi ukawa unahongwa RUSHWA ili uwe mpole lakini watu wako wanatekwa na kuuwawa.

Tunataka hekima za kijasiri kama za Lissu za kukataa RUSHWA na kuwasema hadaharani wala RUSHWA tunataka hekima za kuichukia RUSHWA.
Na huyo mtu aina ya Tundu Lissu wa kukemea rushwa sirini na hadharani hayupo hata huko CCM kwasasa
 
Chadema watamkumbuka Mbowe kwa kung'ang'ania madaraka kama Prof Lipumba tu hakuna kingine..
 
Maandiko yanasemaje kuhusu mtu amtumainiye mwanadamu mwenzie ???!!
 
Hapo sasa ndio patamu !
 
Hata washabiki wa Lisu na hakika hawawezi kufanya makubaliano ya Siri na Lisu Kwa sababu Kuna siku ataropoka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…