Hell big NO unaongopa kaka.Iran katengeneza magrupu ya mengi ya kigaidi kuanzia Iraqi Syria hadi Yemen anatangaza Idiolojia yake ya Kishia.
Iko siku Dunia Italian na kusaga meno.
Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.yaliyoibuka kutetea sovereignty ya mataifa yao.
Fanya research yako vizuri ni hilo tu.Hell big NO unaongopa kaka.
Hakuna kundi Iran kaliunda middle east.
TAJA HAYA MAKUNDI HAPA TUYAJUE.
-Houthi ilikuwepo since 1990s kilikua chama cha siasa Yemeni.
-Lebanon Hizbollah ilikuwepo tangu 1970s.
-Hamas ilikuwepo tangu kipindi cha PLO.
Alichofanya Iran ni kuyaunga mkono hayo makundi kisilaha na kifedha.
NA kila kundi aliliunga mkono kwa sababu zake.
Taja kundi hata moja Iran kaliunda kwaajili ya ku spread Ushia??
Unapowekewa vikwazo na figisu ndio akili inazidi kufanya kazi na kuvumbua mambo makubwa zaidi. Huku tunabweteka, tumeridhika na Tz nchi ya Amani!Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.
Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari.
Jambo hili limemuuzi sana USA na kuilaumu Qatary kwa kurusu Iran kuonyesha zana vita.
Mataifa mengi yame vutiwa na drone, GAZA, kwa uwezo wake.
View attachment 2944506
Shia ni dhehebu la dini, dini inafuatwa na wafuasi waishio katika nchi mbalimbali, ziwe zinajoitawala au la.Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.
Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen
Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.
Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
Research nimefanya kuliko udhaniavyo mkuu.Fanya research yako vizuri ni hilo tu.
AlamsikiResearch nimefanya kuliko udhaniavyo mkuu.
Kuna uhalisia na conspiracy/propaganda isije ikawa umemezeshwa propaganda.
Wewe tutajie hayo makundi kama una uhakika na research yako.
Angalia niliyemjibu kasemaje mbona unaleta Chaos?Shia ni dhehebu la dini, dini inafuatwa na wafuasi waishio katika nchi mbalimbali, ziwe zinajoitawala au la.
Aman iendelee TZUnapowekewa vikwazo na figisu ndio akili inazidi kufanya kazi na kuvumbua mambo makubwa zaidi. Huku tunabweteka, tumeridhika na Tz nchi ya Amani!
Umekosea sana bro.Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.
Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen
Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.
Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
iron dome imedhihirisha ubora na uimara wake kwa kuzuia maroketi mengi ya hamas,Iron dome ina madhaifu mengi kuliko udhaniavyo.
Imeonesha udhaifu kwa kushindwa kuzuia guided missiles za Hizbollah hata moja na imeonesha kwa kuruhusu nusu ya maroketi dhaifu ya Hamas yaliyorushwa Israel.
Iron dome dhaifu sanaaaa.
Sasa mkuu Hamas mabomu yao ya kienyeji ndio kiwe kipimo kweli?iron dome imedhihirisha ubora na uimara wake kwa kuzuia maroketi mengi ya hamas,
Kwa sasa dunian,ndio battery zenye ufanisi wa karibia 90%β’
Mkuu hukufuatilia taarifa.iron dome imedhihirisha ubora na uimara wake kwa kuzuia maroketi mengi ya hamas,
Kwa sasa dunian,ndio battery zenye ufanisi wa karibia 90%β’
Labda kwa Palestina na Syria tu , tena isingekuwa Russia serikali ya Assad ingeangukaHuijui Iran wewe.
Iran ndio muokozi wa mataifa mengi pale Mashariki ya kati ambayo yameonewa na USA kisa USA anataka maslahi yake.
Iran ni muhimu ijilinde kwa inavyowindwa na Imperial nations.
Comment yako ipo kimihemko zaidi kuliko ki fact.
Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.Labda kwa Palestina na Syria tu , tena isingekuwa Russia serikali ya Assad ingeanguka
Russia aliweka kikosi kabisa huko syria,na alikuwa anawapiga waasi wanaosaidiwa na USA,na kambini kwake hakuna cha israel wala USA kurusha bom,bila russia,assad asingekuwepo mpaka hii leo.Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.
Qassem Soleiman akiwa kamanda mkuu pale Syria askari wa Iran walipigana.
Hivyo ukitizama Iran ina mchango mkubwa kuliko Russia.
Kikosi alichoweka Russia kidogo sana mkuu.Russia aliweka kikosi kabisa huko syria,na alikuwa anawapiga waasi wanaosaidiwa na USA,na kambini kwake hakuna cha israel wala USA kurusha bom,bila russia,assad asingekuwepo mpaka hii leo.
Mahaba tu yame kujaa hizo S series zime jaa syria na israel alikua anaingia na kupiga target bila kizuiz chochote uku machuma chuma ya mrusi yakiwa yame lalaunayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,
Lakini,, iron dome ,,ya israel imethibitisha ubora wake,na ,,S,, series ya Russia iko vizuri.
Kwahiyo hakuna serikali ya kikristo inayomiliki silaha za atomic??Hujajibu hoja yangu ulichofanya ni ushabiki ushabiki tu.
Wakristo hawajapofushwa na Dini yao.Kwahiyo hakuna serikali ya kikristo inayomiliki silaha za atomic??
Au serikali za WAKRISTO wakimiliki silaha za atomic kwao sio tatizo??ππ