Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Iran katengeneza magrupu ya mengi ya kigaidi kuanzia Iraqi Syria hadi Yemen anatangaza Idiolojia yake ya Kishia.

Iko siku Dunia Italian na kusaga meno.
Hell big NO unaongopa kaka.
Hakuna kundi Iran kaliunda middle east.
TAJA HAYA MAKUNDI HAPA TUYAJUE.
-Houthi ilikuwepo since 1990s kilikua chama cha siasa Yemeni.
-Lebanon Hizbollah ilikuwepo tangu 1970s.
-Hamas ilikuwepo tangu kipindi cha PLO.
Alichofanya Iran ni kuyaunga mkono hayo makundi kisilaha na kifedha.
NA kila kundi aliliunga mkono kwa sababu zake.
Taja kundi hata moja Iran kaliunda kwaajili ya ku spread Ushia??
 
yaliyoibuka kutetea sovereignty ya mataifa yao.
Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.

Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen

Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.

Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
 
Hell big NO unaongopa kaka.
Hakuna kundi Iran kaliunda middle east.
TAJA HAYA MAKUNDI HAPA TUYAJUE.
-Houthi ilikuwepo since 1990s kilikua chama cha siasa Yemeni.
-Lebanon Hizbollah ilikuwepo tangu 1970s.
-Hamas ilikuwepo tangu kipindi cha PLO.
Alichofanya Iran ni kuyaunga mkono hayo makundi kisilaha na kifedha.
NA kila kundi aliliunga mkono kwa sababu zake.
Taja kundi hata moja Iran kaliunda kwaajili ya ku spread Ushia??
Fanya research yako vizuri ni hilo tu.
 
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.

Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari.

Jambo hili limemuuzi sana USA na kuilaumu Qatary kwa kurusu Iran kuonyesha zana vita.

Mataifa mengi yame vutiwa na drone, GAZA, kwa uwezo wake.

View attachment 2944506
Unapowekewa vikwazo na figisu ndio akili inazidi kufanya kazi na kuvumbua mambo makubwa zaidi. Huku tunabweteka, tumeridhika na Tz nchi ya Amani!
 
Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.

Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen

Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.

Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
Shia ni dhehebu la dini, dini inafuatwa na wafuasi waishio katika nchi mbalimbali, ziwe zinajoitawala au la.
 
Fanya research yako vizuri ni hilo tu.
Research nimefanya kuliko udhaniavyo mkuu.
Kuna uhalisia na conspiracy/propaganda isije ikawa umemezeshwa propaganda.
Wewe tutajie hayo makundi kama una uhakika na research yako.
 
Research nimefanya kuliko udhaniavyo mkuu.
Kuna uhalisia na conspiracy/propaganda isije ikawa umemezeshwa propaganda.
Wewe tutajie hayo makundi kama una uhakika na research yako.
Alamsiki
 
Shia ni dhehebu la dini, dini inafuatwa na wafuasi waishio katika nchi mbalimbali, ziwe zinajoitawala au la.
Angalia niliyemjibu kasemaje mbona unaleta Chaos?

Anyway Alamsiki.
 
Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.

Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen

Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.

Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
Umekosea sana bro.
Unaelewa maana ya sovereignty??
Sovereignty ni taifa kutokuingiliwa kimaamuzi ya kisiasa na kisera.
USA na Saudi Arabia waliivunja sovereignty ya Yemen kwa kulazimisha Mansour 2014 asalie madarakani ilhali Wayemeni hawamtaki.
Na kundi unalosema wewe limetengenezwa na Iran ni Houthi.
Houthi ni chama cha siasa tokea 1990s,na ndicho kilichomuweka madarakani Mansour kama rais wa mpito.Mansour alipoambiwa muda umeisha akagoma na kupewa back up na US na Saudi Arabia.
Houthi wakashika silaha kumpindua Iran akawaunga mkono.

Lebanon iliwahi kukaliwa kimabavu na Israel na maeneo yake kubebwa na Israel ikiwemo mpaka wa maji ambao mwaka jana ndio wamekubali kugawana nusu bin nusu.
Kukalia eneo la mtu tayari ushavunja sovereignty yake.Hizbollah wali emerge kuitetea Lebanon ya kusini Iran yeye aliamu kuwasapoti kifedha na kisilaha.
Na kuwasapoti kwake ni kutafuta allies ambao atakua nao maana kama mataifa hayo yangekua American allies ingeleta shida kwa Iran.
Iran ni nchi iliyokua ikiandamwa toka 1979 na USA kwa kuvunja maslahi yake middle east.

Syria unaposemea wewe hakuna kundi ambalo Iran kaunda bali Iran alitoa sapoti ya jeshi kumsaidia Assad asipinduliwe.

Kaka kafuatilie vizuri.
Au labda ututajie kundi alilounda Iran maana yote yanayojulikana yalikuwepo way back.
Mashariki ya kati kuna kugombania influence baina ya Iran na USA.
 
Iron dome ina madhaifu mengi kuliko udhaniavyo.
Imeonesha udhaifu kwa kushindwa kuzuia guided missiles za Hizbollah hata moja na imeonesha kwa kuruhusu nusu ya maroketi dhaifu ya Hamas yaliyorushwa Israel.
Iron dome dhaifu sanaaaa.
iron dome imedhihirisha ubora na uimara wake kwa kuzuia maroketi mengi ya hamas,
Kwa sasa dunian,ndio battery zenye ufanisi wa karibia 90%•
 
iron dome imedhihirisha ubora na uimara wake kwa kuzuia maroketi mengi ya hamas,
Kwa sasa dunian,ndio battery zenye ufanisi wa karibia 90%•
Mkuu hukufuatilia taarifa.
Hamas oktoba 7 ilirusha takriban maroketi 5000,3000+ yalipenya na kuleta madhara.Utasemaje iron dome ina ufanisi?
Mbaya zaidi roketi za hamas ni local made yani sio zenye nguvu,je Hamas wangetumia Smerch Bm30 MLRS za Kirusi iron dome ingetoboa??
Tuachane na huko,mpakani na Lebanon hizbollah alifanya operation 600+ za short range guided missile hakuna hata operation moja iron dome ali intercept,na zote zilileta madhara kiasi watu kuhama maeneo ya mpakani kaskazini mwa Israel.
Iron dome ni dhaifu huo ndio uhalisia.
Hata khordak air defense system ya Iran ilifanya ufanisi kuliko hata Iron dome.
Siku ya kwanza ya kazi ilidungua stealth drone ya USA tena kwa ufanisi wa kombora moja drone ambayo ilipaa masafa marefu saanaa.
Ndio maana USA hambezi Iran anamuelewa akifanya habahatishi.
Hakuna silaha yake ambayo aliiingiza uwanjani ikaonesha ufanisi mdogo.
 
Huijui Iran wewe.
Iran ndio muokozi wa mataifa mengi pale Mashariki ya kati ambayo yameonewa na USA kisa USA anataka maslahi yake.
Iran ni muhimu ijilinde kwa inavyowindwa na Imperial nations.
Comment yako ipo kimihemko zaidi kuliko ki fact.
Labda kwa Palestina na Syria tu , tena isingekuwa Russia serikali ya Assad ingeanguka
 
Labda kwa Palestina na Syria tu , tena isingekuwa Russia serikali ya Assad ingeanguka
Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.
Qassem Soleiman akiwa kamanda mkuu pale Syria askari wa Iran walipigana.
Hivyo ukitizama Iran ina mchango mkubwa kuliko Russia.
 
Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.
Qassem Soleiman akiwa kamanda mkuu pale Syria askari wa Iran walipigana.
Hivyo ukitizama Iran ina mchango mkubwa kuliko Russia.
Russia aliweka kikosi kabisa huko syria,na alikuwa anawapiga waasi wanaosaidiwa na USA,na kambini kwake hakuna cha israel wala USA kurusha bom,bila russia,assad asingekuwepo mpaka hii leo.
 
Russia aliweka kikosi kabisa huko syria,na alikuwa anawapiga waasi wanaosaidiwa na USA,na kambini kwake hakuna cha israel wala USA kurusha bom,bila russia,assad asingekuwepo mpaka hii leo.
Kikosi alichoweka Russia kidogo sana mkuu.
Frontlinier kubwa ilikua ni ya askari wa Qassem Soleimani mkuu.
Kajaribu kutizama vizuri.
Russia ali deploy zaidi silaha ila Iran ali deploy mpaka majeshi tena kwa wingi sana.
 
unayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,
Lakini,, iron dome ,,ya israel imethibitisha ubora wake,na ,,S,, series ya Russia iko vizuri.
Mahaba tu yame kujaa hizo S series zime jaa syria na israel alikua anaingia na kupiga target bila kizuiz chochote uku machuma chuma ya mrusi yakiwa yame lala
 
Hujajibu hoja yangu ulichofanya ni ushabiki ushabiki tu.
Kwahiyo hakuna serikali ya kikristo inayomiliki silaha za atomic??

Au serikali za WAKRISTO wakimiliki silaha za atomic kwao sio tatizo??😀😀
 
Kwahiyo hakuna serikali ya kikristo inayomiliki silaha za atomic??

Au serikali za WAKRISTO wakimiliki silaha za atomic kwao sio tatizo??😀😀
Wakristo hawajapofushwa na Dini yao.
 
Back
Top Bottom