Hell big NO unaongopa kaka.Iran katengeneza magrupu ya mengi ya kigaidi kuanzia Iraqi Syria hadi Yemen anatangaza Idiolojia yake ya Kishia.
Iko siku Dunia Italian na kusaga meno.
Hakuna kundi Iran kaliunda middle east.
TAJA HAYA MAKUNDI HAPA TUYAJUE.
-Houthi ilikuwepo since 1990s kilikua chama cha siasa Yemeni.
-Lebanon Hizbollah ilikuwepo tangu 1970s.
-Hamas ilikuwepo tangu kipindi cha PLO.
Alichofanya Iran ni kuyaunga mkono hayo makundi kisilaha na kifedha.
NA kila kundi aliliunga mkono kwa sababu zake.
Taja kundi hata moja Iran kaliunda kwaajili ya ku spread Ushia??