MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Ignorance is blissNdio ina watu 93 Million na ndio nchi ya pili kwa ukubwa Middle East baada ya Saudi Arabia inafuata Iran ila hilo sio suala linalokufanya uwe na kiburi km kupigwa utapigwa tu na namba zako, U.S ina watu 349 Million na ukubwa wa Marekani kwa Iran chukua Iran 6 ndio unapata Marekani 1 kiukubwa, acha ubwege
That's how your mama told you?Ignorance is bliss
My mama never raised fools, that must be scarce in your familyThat's how your mama told you?
Israel ingepigana na nchi 13+ zikiwemo za NATO ingekua bado ipo hadi leo?
Sio alipigana, alivamia na kulipua maghala ya silaha kabla ya vita kuanza. Na alipigana na Egypt, Syria na Jordan ambazo. Na alipewa support na meli vita za USA so hakuwa mwenyewe6 days of war ya Mwaka 1967 Israel alipigana na nchi ngapi?
Huyo Echolima1 anajua nini huyo si ka ma Trump na waziri wake wa nje na wa majeshi wote hawana experience ya kijeshi yule mmoja anajichora na kujiita Kafiri alidhani huo usanaa wakujichora ndio utampa ushindi.1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
IRGC wamekimbilia mlimani kujificha, wamekuwa kama magaidi sasa.🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Virtually yes! Anapambana mwenyewe.Sasa iran anapambana mwenye bila msaada wa NCHI yoyote. Israel hawezi na siku akipigana mwenyewe na Iran bila USA kuingilia basi alichofanya Hitler itaonekana ni chamtoto
Ndicho ninachomaanisha. Kama ilivyokuwa kwenye kuwekeana tozo na China. Wananchi wa Marekani hawataki mambo ya vita na migogoro.Hawawezi vita vya muda mrefu? Check your facts again
Tatizo la mmarekani kwenye vita lipo nyumbani kwake, washington DC ,si anapopigana vita
Support imepungua sana. Ndani ya Chama cha Republican tu kuna watu hawataki kusikia habari za Israel.We wafkirie hao Wamarekani ni wajinga linapofikia hatua ya Taifa lao kuisupport Israel dhidi ya ugaidi wa kishenzi wa Iran.
Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?
Magaidi? Mbona ikulu haijachukuliwa wala kambi yoyote?IRGC wamekimbilia mlimani kujificha, wamekuwa kama magaidi sasa.
Naona anaingia kwenye mtego uliomshinda USA!! hawa wanatafuta world war 3 kwa lazima!!the fleet is prepared to execute escort operations to reopen the Strait of Hormuz,
Hayo ni majengo tu.Magaidi? Mbona ikulu haijachukuliwa wala kambi yoyote?
Kumbe boti za kijeshi hazihesabiki ni navy kisa tu Somalian pirates wanazo?kwani Somali pirates wana Navy?.
wanachokifanya Iran ni kama hao Somali pirates tu wanatumia small fast-boats kutekeleza mashambulizi yao.
Kumbe? Basi raia watoke majumbani wateke kambi zote maana IRGC wamekimbia!!!Hayo ni majengo tu.
Ni kambi zipi unazozungumzia, mkuu, ilhali kila kukicha zinalipuliwa? Unawezaje kukaa katika kambi ambayo inalengwa 24/7 !?Kumbe? Basi raia watoke majumbani wateke kambi zote maana IRGC wamekimbia!!!
Trump is a pathological liar! Kama kweli Iran haina chochote kilichobaki, kwanini Israel na Marekani hawaiingizi majeshi yao humo waifurushe repressive regime ya Ayatollah Khamenei?🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Uongo wa Trump ni ule wa kipumbavu kabisa!Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?