Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Waajemi waendelee hivyo hivyo, tumeshawachoka wayahudi na marekani. Hao ndio magaidi namba moja
 
Sema kwa Confidencs hii ya Hawa Iran ni halali tu kwa Israeli na USA kupanick kuona jamaa wana enrich Uranium, Hivi mfano saiv jamaa angekua na Uranium ready, Si angerusha Newyork
Angerusha tu bila sababu?

Kwani nani kwenye huu mgogoro ambaye kaanza kumshambulia mwenzake?

Akili zingine bana! Iran ndo mhanga wa mashambulizi hapa halafu yeye ndo analaumiwa na kusadikika kuwa angekuwa na hayo mabomu angeyarusha New York!

Wasingemshambulia haya yote yanayoendelea sasa hivi yasingekuwepo.

Mtu anashambuliwa halafu mnataka kumpangia jinsi ya kujihami!

Siamini watu mnaweza kuwa majuha kiasi hiki.
 
Hii vita sio ya kuichukulia kirahisi rahisi tu kwamba Iran Atapigwa na utawala wake utaangushwa na maisha mengine yataendelea, Mpaka kufikia huko Utawala wa Iran kuangushwa basi uchumi wa Dunia hii utakua hautamaniki. Hii Dunia inaweza kushuhudia Matokeo mbalimbali ya hii vita ambayo Hayakutarajiwa, Kuna spring kubwa duniani itatokea, Kuna mataifa yataibuka kua na nguvu kubwa na mengine yatadhohofika sana, Vita sio jambo jema kabisa.
 
Roho ya mauti i malangoni pake lazima afe tu! Kwaheri Ayatollah.

Russia vs Ukraine imesahaulika kabisaaaa, yaani kama hakuna vita kule, kumbe Putin anampelekea moto mkali Zelensky kavu kavu bila KY, Zelensky analiaa balaaπŸ˜…πŸ˜…
 
Ayatollah R.I.P in advance, yaani tushakuaga byeee πŸ˜…πŸ˜…
 
Waongo tu hawa.
 
Ayatollah nasikia kajificha chini kabisaaa ya milima huko Iran, na hana mawasiliano ya simu wala Internet, yaani kashakabidhi madaraka kwa IRGC maana kaona anytime watammaliza, ila anatoa order kwa vimemo tu.
 
Kama kweli yamerushwa basi marekani amepata sababu ya kushinda Iran masaa 24 akiteketeza
Hakuna watakuwa walishawatoa watu wao humo. Na natabir wala marekan haitajibu maana hakutakuwa na madhara makubwa kiivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…