Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Iran ikilipa kisasi israel sasa inaondoka na ayatollah mwenyeweAmiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.
Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.
PIA SOMA:
- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
😂😂😂 Ndoto za mchanaMavi yanagonga chupi huko TelAviv,katoka raisi so akiuawa ayatollah atawekwa mwingine,Ila vinu lazima viitike mji ambao hiyo ndege imetokea
Dah majenerali wa Iran wanauliwa uliwa na Israel kirahisi rahisi tu kama kuku....Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.
Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.
PIA SOMA:
- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
Huwezi kumaliza mfumo kwa kuondoa mtu.Iran inabweka bweka tu, Israel inawa eliminate one by one, President kaondolewa, hata huyu Mkuu wa Majeshi ataondolewa utashangaa tena huko huko Iran, yaani Iran viongozi wao wakubwa wa nchi nzima na wanajeshi wao, wanaishi kama wezi au majambazi, wako under Israel MOSAD most wanted list 24/7
Dah majenerali wa Iran wanauliwa uliwa na Israel kirahisi rahisi tu kama kuku....
Mkuu wewe umetokea jamii za wakeketajiIran Ni Kama mtoto mdogo wa kike anayelilia wembe wa ngariba.
Katika maisha yangu nilishatembea na mwanamke mmoja tu wakipare..Mkuu wewe umetokea jamii za wakeketaji
unadhani kanisani kuna kuropoka ovyo kama huko kwa mtoro?Eti president kaondolewa,ndo mlivoambiana kanisani huko!?
Na mitusi juu🙌🙌🙌.unadhani kanisani kuna kuropoka ovyo kama huko kwa mtoro?
Inachoweza ni nini?! Labda ugaidi, maana hata rais wao wameacha amekufa kizembe huko milimani na helikopter ya mwaka 1978.Tofauti ya Iran na Israel ni kuwa Iran inao uwezo wa kudedisha watu muhimu kwa utawala wa Israel lakini haifuati njia hiyo maana ni njia isiyo na tija.
Umenikumbusha, alivyouwawa yule Jenerali Soleman Qassim.... Jamaa walipiga kelele as if kesho yake wangejibu mapigo... Lakini waliishia kupiga kelele tuu...Ila israel kwa kutoa dozi Wapo vizuri.
Hawacheki na magaidi kabisa.
Ameuliwa raisi mkuu wa nchi wamefanya nini?Mavi yanagonga chupi huko TelAviv,katoka raisi so akiuawa ayatollah atawekwa mwingine,Ila vinu lazima viitike mji ambao hiyo ndege imetokea
myaudi sio mkristu , pambana na myaud acha shobo na wakristu mbweha wwEti president kaondolewa,ndo mlivoambiana kanisani huko!?