Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Kuna Gaddafi na Maduro pia😂Haya wale vijana mliokuwa mnasema mnasema Iran ni moto wa kupoteza mbdli, mmeona sasa? Kabla ya huyo alikuwa Saddam Hussein naye alikuwa mwanba na makelele mengi naye alikuwa kichwa na haohao
Hata wa kwenu wanaweza ondolewaHow comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
wanaogopana.Kama wewe sio China, kupigana au kubishana na US ni msiba tuu
Ndio maana dini yoyote ile hupaswi kuiendekeza kupita kiasi. Sometimes inabidi tutumie ubongo kufikiriaYes .
Pia anashangaa unavyofurahia Ayatolah kufa wkt mama yako ni muislam.
Mwenzio hajali kifo cha yeyote kinachosababishwa na muislam mwenzie.Hatakaa akuelewe, kwake Ayatolah ni mtakatifu na watakutanj peponi
Ndio waandamanaji walichoma baadhi ya majengo ya serikali IranNaona picha ya jengo lililoteketezwa, ni hao waandamanaji walifanya hivi!?
wanaogopana.Hiyo China ana nini cha maana? Kama kweli hamuogopi US aivamie Taiwan sasa
Lile lizee ni katili. Mimi nashangaa nchi kama Qatar ina shida gani hadi uwapelekee vita mlangoni kwao? Bora walivyoliuaNa Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.
Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
😂Msemaji wa Jeshi la Israeli (IDF): Tumewaua maafisa 40 na viongozi wakuu wa serikali katika shambulio la mwanzo – ndani ya dakika moja.
M I leleeSAFI.
Allah alitoa Trump ametwaa.
Jina la Trump liheshimiwe
Kwani mashambulizi yaliyopigwa Iran si yametokea Israel? Hao UAE na Dubai wamehusika kwenye shambulio gani?Kwa hio ndugu yangu ampe adui ardhi yake ili anipige mimi ni muwache tu sababu ndugu usalaba ni noma haswa. Akili zenu zimekaa kama misalaba yenu.
Binafsi nimetafakari sana kuwa mtu kafa na picha ishatumwaKatika hao wanaomtoa hapo utakuta wawili au wa tatu ni MOSSAD ndio maana Netanyahu alikuwa anasema ametumiwa picha. Hawa jamaa Israel ni nyoko
Iran kazipiga hizo nchi kwa sabb ya kujihami na kujilinda.Lile lizee ni katili. Mimi nashangaa nchi kama Qatar ina shida gani hadi uwapelekee vita mlangoni kwao? Bora walivyoliua
Mimi sio mwislamu lkn kifo Cha Khomeini kimeniuma sana.Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.
Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.
Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.
Vipi kuhusu kuvamia Airports?Iran kazipiga hizo nchi kwa sabb ya kujihami na kujilinda.
Tukumbuke ya kwamba hizo nchi zipo karibu na Iran, na USA ameweka military bases zake kwenye hizo nchi.
So, nadhani Iran kaamua kujihami na kujilinda kwa kushambulia military bases za USA zilizopo katika nchi hizo. Sabb hizo bases zingetumika kurusha makombora (missiles), fighter jets, drones kuelekea Iran.
Nadhani Iran hana missiles za kufika USA moja kwa moja, hence attacking military bases za USA zilizopo karibu na Iran ipo justified kihivo.
USA mainland pia nadhani hana missiles za kufika Iran moja kwa moja that's why anazituma hizo nchi jirani na Iran.
Great failure of Islamic education system. Ningekuwa mrusi au mchina nisingewapa silaha Wala MIFUMO ya kujilindaaana wanajinasibu mudi aliwaletea kitabu kilichokamilika ambacho hutakiwi kusoma kitabu Wala ELIMU nyingine. Sasa wasomu wa hicho kitabu waliwahi kugundua silaha gani tofauti na kutumia za hao hao wanaowaita Makafiri wanaogundua kwa kusoma sayansi? Hivi Karne ya Sasa hivi una komaa na riwaya za vlkusadikika unakariri halafu unasema wewe ni msomi?
Umemaliza vizuri sana kwa strong lines, japo lines za mwanzo zimejaa ubaguzi wa kidini.Great failure of Islamic education system. Ningekuwa mrusi au mchina nisingewapa silaha Wala MIFUMO ya kujilindaaana wanajinasibu mudi aliwaletea kitabu kilichokamilika ambacho hutakiwi kusoma kitabu Wala ELIMU nyingine. Sasa wasomu wa hicho kitabu waliwahi kugundua silaha gani tofauti na kutumia za hao hao wanaowaita Makafiri wanaogundua kwa kusoma sayansi? Hivi Karne ya Sasa hivi una komaa na riwaya za vlkusadikika unakariri halafu unasema wewe ni msomi?