Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Faraja inahitajika katika kipindi hiki kigumu😆😆
 
Ni kweli
 
 
Tuliza makalio wewe...yani intellegensia yao wasijue kuwa wanataka kushambuliwa?? Kama walikua hawajui basi hiyo haikua nchi ila ni kikundi cha kina mama chsma kufa na kuzikana
 
Vita viendelee nataka dubai ichakazwe na Iran maana kahaba na toto lake shenzi Abdul na waarabu wanao hujumu nchi yetu wapo huko na pesa zetu wanazo zifisadi wanaziweka dubai na Saudi na Oman.....waarabu na waislamu siyo wakuchekewa hata kidogo.
 
How comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Intelijensia, haushangai Israel ndiyo wamemuua na wakatangaza kabla mtu yoyote even those Iranians on the ground hawaeliwa nini kilichotokea. This means walianza na kumuua yeye ndiyo mashambulizi mengine yakafanyika, ukumbuke mwezi mzima alikuwa mafichoni wakati military build-up ikiendelea sasa jiulize walijuaje hilo chimbo alilokuwa amejificha?
 
Hapana mkuu, hawajashinda vita bali wameshinda njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…