Hivi akifika ahera anapewa mabikra wangapi vileAyatollah alikua na umri wa miaka 86
Zinawabamba sana 😅🔥Dah kumbe ngoma za kiafrika zinawabamba hivyo?
Uonevu kivipi? Mbona Iran wamerusha mabomu Dubai, Doha, Bahrain, Kuwait na Jordan? Maana yake na wao wenyewe walikuwa aggressiveKatika Mataifa ya Kiislamu ninayoyakubali Iran namba moja.
Shida yangu na hawa jamaa ni kufadhili vikundi vinavyoua raia wasio na hatia.
Tofauti na hapo ana kila haki kwenye kila anachofanya bila kupangiwa masharti yoyote.
Kilichotokea ni uonevu.
Marekani hawezi kuyahisi maumivu ya vita hadi afanyiwe kama alichofanyiwa na Japan hadi akakimbilia kutumia Nyuklia.
Siku hizi vita zikipaganiwa pale New York akili zitawakaa sawa.
Inshort niko against na kuuwana asee.
Bado ni watumwa wa waarabuinakuaje wananchi wa Iran wanashangilia halafu wamatumbi wa kwa mtogole wanalia?
Una Ushahidi wa Ufadhili wake?Fadhiri kuu la magaidi limechinjwa:
imbeni tena
Watahutubia wengine, wamemuua Muislam Mmoja, wapo Waislam wengine mamilioniKwahiyo hatohutubia tena 😳
Afadhali wamemuua huyo mmoja. Maana ndio alikuwa msumbufuWatahutubia wengine, wamemuua Muislam Mmoja, wapo Waislam wengine mamilioni
Kwa uzee ule atapewa Bikra ngapi huko akhera, ataweza kutembeza rungu 24/7 kweli?Ayatollah alikua na umri wa miaka 86
Marafiki zangu wa Kiislamu wameshaanza kuweka status za kuhuzunika juu ya kifo cha AyatollahWakati huo huo huku kiparang'anda ustaadh Keyboard_Warrior na wenzake machozi yamechanganyikana na makamasi kwa kilio
Nyie bakini na uwongo wa Israel kule Baharain watu wanajiuliza hio US air defences ina faida ganiNimeipenda spirit yake aisee😀😀
Marafiki zangu wa Kiislamu wameshaanza kuweka status za kuhuzunika juu ya kifo cha Ayatollah
Sema siwalaumu, inaonekana hawajui maovu ya huyu jamaa
View attachment 3550450
Inaonekana umeumia sana eeh 🤣🤣Nyie bakini na uwongo wa Israel kule Baharain watu wanajiuliza hio US air defences ina faida gani
We unajua kwanini Trump anatafuta ushindi wa vitisho haraka haraka alitegemea akimua Khomen ndio vita basi. Huoni mpaa mda huu anaona aibu kutangaza ushindi sababu base zake zinapigwa kama mchezo tawaketeni details kwenye special topic.
Sitaki kuwakwaza marafiki zangu, hawahusiki na hayo mamboWaambie maovu yake!
Sitaki kuwakwaza marafiki zangu, hawahusiki na hayo mambo
Ila maovu yake tuna share huku JF
View attachment 3550453
Sio wajinga, wanajielewaKwahiyo rafiki zako wa Kiislamu ni wajinga?
Sio wajinga, wanajielewa
Ni vile tu hawafuatilii sana mambo ya nje, sio interest yao. Kwa nini useme ni wajinga?