Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Nimemaanisha nchi yenye nuclear power haiwezi vamiwa tu kizembe. Kuna tahadhari kubwa sana inachukuliwa
Tahadhari kuwepo haimaanishi kuwa huwezi kushambuliwa kwa sababu ya Nyuklia zako.

Nyuklia haitumiwi hovyo hovyo kama mabomu mengine tu
 
Tahadhari kuwepo haimaanishi kuwa huwezi kushambuliwa kwa sababu ya Nyuklia zako.

Nyuklia haitumiwi hovyo hovyo kama mabomu mengine tu
Ondoa neno hovyo hovyo maana sijasema hivyo.
Mfano umenivamia na naona kabisa unaenda kuniangamia, je nitakuacha uniangamize kwa vile sheria hairuhusu kutumia nuclear?
 
Israel halazi damu akipgwa kwake na huku Hezbollah anapga kila siku makombora raia wake wa kaskazini wote wamekimbia
 
Ondoa neno hovyo hovyo maana sijasema hivyo.
Mfano umenivamia na naona kabisa unaenda kuniangamia, je nitakuacha uniangamize kwa vile sheria hairuhusu kutumia nuclear?
Nawe upo tayari kutupiwa hizo Nyuklia inabidi ujiulize hilo swali kabla ya kuchukua uamuzi unaotaka kuchukua
 
We ni mjinga, ulitaka Irani kwenye naandamano yao atumie hadi Nyambizi kutuliza waandamanaji? Kule USA wanadamanaji wakiandamana Marekani itatumia zile F22 kutuliza waandamanaji? fuvu umejaza kamasi au ubongo?
 
🇮🇷🇮🇱BREAKING: IRAN ITASHAMBULIA ISRAEL BAADA YA SAA 48 ZIJAZO?

Kujibu shambulio la Israel karibu na ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria ambalo liliua wanachama kadhaa wa ngazi za juu wa IRGC, CIA inadaiwa kuifahamisha Israel kwamba Iran ingeshambulia ndani ya saa 48 zijazo.

Iran inaripotiwa kupanga mashambulizi ya pamoja na kundi la ndege zisizo na rubani na makombora ya baharini yaliyorushwa kutoka Iran katika maeneo ya kimkakati ndani ya Israel.
 
Nawe upo tayari kutupiwa hizo Nyuklia inabidi ujiulize hilo swali kabla ya kuchukua uamuzi unaotaka kuchukua
Mimi sina cha kupoteza maana hata nisipokutupia bado utaniangamiza. Bora nitupe maana hapa tunaongelea kujiokoa au kuangamia.

Ndio maana nikasema nchi yenye nuclear power haivamiwi kizembe. Maana yake pamoja na sheria za matumizi ya nuclear, bado wamiliki wengine wa nuclear wataingulia kati isifike kuwa vita.
 
Mkuu una gubu
 
Haimiliki. Imepambana sana kutengeneza lakini anakwamishwa.
Ni nukta nzuri lakini tujaribu kuyafikiria haya!

Iran ina urafiki mzuri na China, Russia, North Korea n.k

Tunafahamu mataifa kama India, Pakistan na North Korea hawakutengeneza wenyewe mabomu ya nuclear bali ulikuwa ni usaidizi wa imma China au Russia au wote wawili kwa pamoja.

Unadhani kwa ukaribu waliyonao Iran na hayo mataifa ni kweli hiyo sayansi ya utengenezaji wa hizo silaha ni kweli hawana?
 
Hii imekaa vizuri mno. Tungoje tuone mtu-mvaa kobazi akiomba poo.
 
Udiniiiiii ,hapa ndipo Naona Umuhimu wa Mwana Jf Kiranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…