Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Nanukuu:"Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga...."
Mwamba keshawaambia na kuwaonya yuko tayari tangu zamani. Na siku zote Mwamba hafichi -ana wachana laivu. Sasa ngoja wajichanganye halafu wapeleke kobazi zao kule Israel ndo watajua walikuwa hawajui.
 
Tunaweza hisi tu lakina no proof.
Russia alishawahi msaidia iran kwenye hiyo project lakini Israel ikawaharibia kwa kuipiga hiyo mitambo kabla haijafikia kuzalisha siraha.

Na Israel iliharibu kirahisi kwa vile Russia iliiuzia Iran vipuri kimagendo. China mtoe
 
Israel bado uwezo wake kijeshi unaleta mashaka. Ukiangalia mapigano yake dhidi ya Hamas utaona pakubwa udhaifu wake.
 
Ulishawahi kufika Iran? Au unaifahamu Iran?
Sio kesi mwambieni huyo Ayatollah na midevu yake ashambulie Israel si anajifanya ana military capability ila msije kulia lia humu kuwa Israel inaua wanawake na watoto na raia wasio na hatia wa Irani kama mnavyolia Gaza wakati vita ilianzishwa na Hamas

Waambieni Irani Israel haiwaogopi na inawakaribisha kupigana nao hao Ma Ayatollah wafuga Midevu muda wowote ruksa waanzishe vita

Israel inawakaribisha mikono miwili kuwa Irani karibu Vitani tupigane mwambieni huyo Ayatollah wenu kuwa anakaribishwa vitani kwa mikono.miwili na Israel
 
Ukireport kutoka buza ww ni Ally mwakipozeo wa Chanel udaku
 
Hakuna vita ya 111 ya dunia. Usiogope. Huyo Ayatola anaweza kupotezwa hata kabla ya vita kuanza. Hii ni kwa sababu chokochoko yate hiyo imeletwa na huyo Ayatola na genge lake na wala sio wananchi. Wananchi hawampendi kabisa ila anatumia dola (Majeshi ya kidini) kuwakandamiza. Rejea walipoandamana akina mama kwa kuuawa msichana aliyeacha kuvaa hijabu. Mbona Ayatola hapo aliufyata? Sasa anataka aijaribu Israel????
 
Usi
Shule mlienda kusomea ujinga au??

unavotoa habari lazima itoke kwne chanzo cha kuaminika??? wewe ni chombo unaeaminika duniani??

kama habari siyo yako lazima uweke na chanzo cha habari!!

Ebu hata kama umesoma sant kayumba elewa hata taratibu chache
 
Wewe kweli hamnazo. Iran anaitwanga Israel kila siku au unadhani hao Hezbollah wanaoipiga Israel kila siku huko Northern ni nani kama siyo Iran?
 
Kama kuna kete Marekani na wenzie wanaisubiri kwa hamu sana, basi ni Iran kuingia vitani na Israel.
🇺🇸🇮🇷U.S TO IRAN: DO NOT ATTACK US - YOU WILL PAY

U.S. Ambassador Deputy:

"We will not hesitate to defend our personnel and repeat our prior warnings to Iran and its proxies not to take advantage of the situation - again, an attack in which we had no involvement or advanced knowledge - to resume their attacks on U.S. personnel."

Source: 1st Channel News

Soma hiyo statement ya USA imetolewa Leo kuwaambia Iran kuwa wasithubutu kupiga watu wao maana hawatasita kuwalinda na wasichukulie advantage kwa tukio la Jana ambalo USA hawahusiki
 
Inanikumbusha mbali sana enzi za Miungu ya Kihindi ilipojimaliza yenyewe kwa nuclear vimana





 
Hata leo hii Israel kapigwa na Iran ukiskia Hezbollah huko North panawaka moto ujuwe ni Iran , ukisikia Islamic resistance Iraq ujuwe ni Iran, ukisikia Houth huko Yemen ujue ni Iran. Mnataka mpigwaje nyie watu
 
Hii inamaanisha kwamba option ya vita itakuwa yamwisho pengine wata mu eliminate huyo ayatollah na mchezo ukaishia hapo.

Hapo iran majasusi wa C.I.A, mossad, m16 wanaingia na kutoka kama chooni vile na wanajua hadi shuka analotumia kujifunika wkt wa kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…