Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Hata leo hii Israel kapigwa na Iran ukiskia Hezbollah huko North panawaka moto ujuwe ni Iran , ukisikia Islamic resistance Iraq ujuwe ni Iran, ukisikia Houth huko Yemen ujue ni Iran. Mnataka mpigwaje nyie watu
Apige yeye bila kijifichia kwa vikundi vya kigaidi.
 
Israel bado uwezo wake kijeshi unaleta mashaka. Ukiangalia mapigano yake dhidi ya Hamas utaona pakubwa udhaifu wake.
Shida iliyoko hapo kupigana na HAMAS ni kwamba HAMAS ni kikundi tena kimetawanyika na hakina mpangilio rasmi wa kijeshi. Lakini Iran ikileta jeshi kupambana ni rahisi kutambulikana walipo, nyendo zake, idadi, aina ya silaha, kufuatiliwa na kusambaratishwa sawia.
 
Haiwezi kuwa vita ya 3, Ujerumani hana upande
 
Apige yeye bila kijifichia kwa vikundi vya kigaidi.
Kajificha wapi? Iran katangazia wazi dunia kuwa Hezbollah anawapa silaha, Hamas , Houth , Islamic resistance wote hawa anawasupport financially and Technically .hata hao mabwana zenu wa marekani na Israel wanajua wazi hilo.
 
Iran maneno mengi Hadi hayatola atatunguliwa Bado watapiga mikwara
 
Tatizo watu wanakalia ushabiki bila kuangalia ukweli. Israel kupigana na Hamas analazimika kutumi sira za kiwango cha chini maana mpinzani sio jeshi.
Yes Exactly. HAMAS mara wajifiche nyuma ya akina mama, mara wajifiche Mahospitalini, mashuleni n.k.n.k. Tofauti na jeshi rasmi linaloeleweka muundo wake.
 
Reactions: 511
Kajificha wapi? Iran katangazia wazi dunia kuwa Hezbollah anawapa silaha, Hamas , Houth , Islamic resistance wote hawa anawasupport financially and Technically .hata hao mabwana zenu wa marekani na Israel wanajua wazi hilo.
Jeshi la Iran lishambulie Israel sio itumie vikundi vya kigaidi.
Iwe Iran vs Israel
 
Acha bange wewe! Ayatola anawajua vizuri wayahudi, hawezi kuthubutu.
 
Naam. Haya majamaa sijui akili zao wanaziwekaga wapi. Juzi kati hapokamanda wao kauliwa ndani ya nchi yao na jeshi lilikuwepo lakini hawakuweza kufanya chochote kukabiliana ila sasa wanakuja na majigambo eti tutapiga ndani ya Israel. Ngoja wajaribu ndipo waone full mziki wa IDF. watapigwa kama ngoma ya bughobo-ghobo.
 
Sawa! Lakini tangu mwaka 2010 mpaka 2023 Israel imekuwa ikitumia mbinu za kijasusi pale ambapo Israel inaona Iran anafanya utubishaji wa nuclear kufikia kiwango cha kuweza kutengeneza bomu.

Mbinu hizo imma kwa kuwauwa wanasayansi wa Iran kwa kutegeshea mabomu na mara nyengine amekuwa akitumia drones au kutumia makundi ya kikurdi yaliyopo Iraq kishambulia miundombinu hiyo.

Institute for Science and International Security wanasema: " The unfortunate reality is that Iran already knows how to build nuclear weapons, although there are some unfinished tasks related to the actual construction of them. If the regime’s leadership decided to build them, how would it proceed? How long would it take?

Wakasema tena: "The long pole in the tent of building nuclear weapons is essentially complete. Iran can quickly make enough weapon-grade uranium for many nuclear weapons, something it could not do in 2003. Today, it would need only about a week to produce enough for its first nuclear weapon.3 It could have enough weapon-grade uranium for six weapons in one month, and after five months of producing weapon-grade uranium, it could have enough for twelve."

Lakini hawakuishia hapo! Kuna miongoni mwa mambo wakayagusia nayo pia: "The other major poles in the tent are “nuclear weaponization” and delivery. Iran has a variety of delivery systems, including nuclear-capable missiles: the delivery pole is ready"

Hii ni ripoti toleo la January 8, 2024. Kuna mengi wameyazungumza. Hebu tujadili hapa tusaidiane. Au unaonaje ndugu yangu? Karibu!
 
Jeshi la Iran lishambulie Israel sio itumie vikundi vya kigaidi.
Iwe Iran vs IsraelView attachment 2953222
Ni kwa sababu tu huna akili. Sasa kama Iran anawapa silaha na mafunzo Hezbollah, Houthis Yemen na Islamic resistance wa Iraq na wanamchapa daily Israel hapo unakataa nini kwamba Iran hampigi Israeli?

Israel anajaribu jaribu kupiga mikwara lakini hajawahi kuthubutu kufanya shambulio direct kwa Iran zaidi ya kupiga hako kanyumba ka ubalozini hapo Syria. Na hakuna anaejua reaction ya Iran mpaka sasa itakuaje.
 
Nakubali wanajua(Russia ndie anawapa huo utalaam) ila bado hawajatengeneza.
Moja kati ya sababu za Iran kuipa Russia siraha ni kwa vile, bado anamtegemea Russia ku bypass vipuri kumfikia Iran maana yeye ana ban hauziwi.
 
Yes Exactly. HAMAS mara wajifiche nyuma ya akina mama, mara wajifiche Mahospitalini, mashuleni n.k.n.k. Tofauti na jeshi rasmi linaloeleweka muundo wake.
Hahaaa malofa kweli nyie hivi unaweza kumpangia mtu apigane vipi vita?
 
Asie na kili ni baba yako aliezaa kamasi kama wewe.
 
Mambo magumu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…