Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Inategemea taarifa zako unazipata wapi. Kama unatoa CNN na BBC lazima death toll zizidi Iran kuliko Israel. Lakini kama unazioata kutpka independent media utaona kuna uwiano usiopishana sana
 
Mkuu labda ikawa huna habari lakn mpaka Sasa Israel ana hali mbaya sana kwa mashambulizi iliyoipata kutoka Iran
1 IRGC imepiga headquarter ya Wizara ya Ulinzi Tel Aviv
2 Haifa port
3 Kiwanda cha mafuta (Haifa) mafuta yanatumiwa na fighter jet na operations za Serikali ya Israel
4 3 Airbases ambazo ni Nevatim, Ovda $ Telnof vituo vya mashambulizi ya anga
5 Military centers na Maabara na vituo vya utafiti
Mpaka Sasa Israel bado haijaanza mashambulizi maana Huwa wanashambulia mchana jamaa wanajibu usiku Sasa hivi Israel Iko busy na kinasua watu waliokwama kwenye vifusi vya majengo yaliyodondoshwa
 
Inategemea taarifa zako unazipata wapi. Kama unatoa CNN na BBC lazima death toll zizidi Iran kuliko Israel. Lakini kama unazioata kutpka independent media utaona kuna uwiano usiopishana sana
Tumia akili yako vizuri wewe zwazwa!!! Israel Ina miundombinu ya Kukinka watu wake katika shambulio lolote kutoka nje na Ina Mifumo ya ulinzi kutoa tahadhali ya mapema kabla ya shambulio kutokea na hivyo kuwafanya watu wake wengi wawe salama.

Kwa upande wa Iran hawana miundombinu hiyo wao wanapigana kichwa kichwa tu bila kutumia vifaa vya Usalama hivyo watu wake wote wanakuwa katika hatari ya kufa pindi wanaposhambuliwa.

Hiyo ndiyo sababu kuu lakini mengine hayo ni Propaganda tu ukweli utabaki palepale idadi ya vifo lazima itakuwa ndogo sana kulinganisha na Iran ambao wanapigana kichwa kichwa!!
 
Israel wameweka assets za kijeshi kwenye makazi ya watu,
tulia dawa iingie vyema
 
Labda wewe tu ndiyo una shida maana unataka wote tufikiri kama wewe!! Kama kupimwa wewe ndiyo uende ukapimwe akili!!!
 
Labda wewe tu ndiyo una shida maana unataka wote tufikiri kama wewe!! Kama kupimwa wewe ndiyo uende ukapimwe akili!!!
Kama kwenye hiyo picha nini wewe maabara ikiona picha yako tu itatoa matokeo/majibu hapohapo.
Na mshati mshati wako wa batiki, ni mwalimu wa kwaya wewe, eeeh?
 
Hizi habari wewe umezipata wapi! Au wewe ukishashiba Maharage ya jana unakuja na taarifa za Israel kupigwa? Hebu tupe picha au Source ya matapishi yako haya!!!
 
Umeongea ukweli kabisa na irani anachangiwa na marekani na israeli na nia ni kufanya regime change,kabanwa kwa vikwazo,hasaidiwi na majirani wala mataifa yenye nguvu kama china na urusi,lakini anapambana,ayatollah ali khamenei najua atauawa soon but atakufa kishujaa
 
Kama kwenye hiyo picha nini wewe maabara ikiona picha yako tu itatoa matokeo/majibu hapohapo.
Na mshati mshati wako wa batiki, ni mwalimu wa kwaya wewe, eeeh?
Kwa ujinga wako kila mtu ni Mwalimu wa Kwaya maana umeshindwa kutuletea Source ya matapishi yako hayo!!!!
 
Wewe endelea kujifariji na kutafuta visingizio visivyo na maana yoyote kama ni suala kusaidiwa kwa nini Iran isisaidiwe kama wanaona hawana ubavu wa kupambana na Israel?
 
Nakuunga mkono mkuu,,na Iran wakiendelea hivi na mvamizi akashindwa,yafaa majirani wanafiki, wajitafakari sana 💪💪🫵👆😄
 
Echolimai poleee ndugu yangu kumbuka Iran sio Mwarabu!!!

leo Miji ya ISRAEL inarudishwa zama za Mawe Mbaya zaid Miji ilikuwa kama Qatar majengo makubwa niliwaambia Muisrael Akili ana mnam'pamba tu kipropaganda Media Haifa sasa daaa ulimwengu umeduaa wenyewe,, Iran Shikamooo Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…