Israel inaficha vifo pia viongozi wa Israel wanajificha kwenye mashimo huku wakiwatoa sadaka raiaKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Kilichopigwa ni nuclear site sio vinu vyake.Ushahidi wa kwamba F-35 imetunguliwa ni upi?
Hivyo vinu vimepigwa sana tu ambapo hata kama havijalipuka vyote hakuna mtu ataendeleza shughuli humo maana ni hatari tupu.
Nilitarajia utatuwekea na ka video kumbe uko hapa kutuimbia taarabu tu???Echolimai poleee ndugu yangu kumbuka Iran sio Mwarabu!!!
leo Miji ya ISRAEL inarudishwa zama za Mawe Mbaya zaid Miji ilikuwa kama Qatar majengo makubwa niliwaambia Muisrael Akili ana mnam'pamba tu kipropaganda Media Haifa sasa daaa ulimwengu umeduaa wenyewe,, Iran Shikamooo Baba.
Ni aibu sana wewe kuwa mlevi mchana huu hii ndiyo shida ya kula Maharage ya jana!!!Israel inaficha vifo pia viongozi wa Israel wanajificha kwenye mashimo huku wakiwatoa sadaka raia
Kwa Iran amalize nini?Miaka ya 2000 Israel ilishawahi kutaka kuishambulia Libya sababu Libya alikuwa na mpango wa kuunda siraha za Nuclear toka Pakistan.
Sasahivi si unaona Pakistan anamsaidia Iran? Basi kaa na hili kuwa akitoka Iran basi next Pakistan, Israel hataki nchi yoyote ya kiarabu iwe na nguvu za kijeshi, ameshapiga Syria miaka hiyo, ashaitumia Marekani kwa Iraq etc
Hizi habari wewe umezipata wapi! Au wewe ukishashiba Maharage ya jana unakuja na taarifa za Israel kupigwa? Hebu tupe picha au Source ya matapishi yako haya!!!
Kwa Makasiriko yako haya hakutapunguza kipondo kwa magaidi wa huko Iran na nawaomba tu IDF waongeze kibano kwa Wafuga Midevu na Maji i mpaka wakome kabisa!!Labda Dunia nzima ya mama yako na kichwa chako.
Oyaaaaah.Kwa ujinga wako kila mtu ni Mwalimu wa Kwaya maana umeshindwa kutuletea Source ya matapishi yako hayo!!!!
Israel ina population ya watu takriban 10 milioni, na Irani ina population ya watu takriban 100 milioni. Kama darasani hujakimbia hesabu hasa topic ya probability unaweza kuelewa vizuri.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Hujui kitu!Kilichopigwa ni nuclear site sio vinu vyake.
Na kumepigwa juu vinu viko chini.
Muwe mnahakiki mnayoongea.
ISRAEL CHALIIIIIII jehova chaliiiiiiii Telaviv Chaliiiii haifa chaliiiii kifo cha Mende Netanyahu kawa Panya tena yule chamaki nchanga!!!! Kasababisha ISRAEL irudi zama za Mawe kenge maji asikii adi damu zimtoke sikioni !!!!
Wapumbavu sana Dunia yote hiii na Ukubwa wake wao wameshupaza shingo kuuwa wamama watoto kuwaweka watu njaaa adi wanakufa kuwapa majina ya Ugaidi !!!
afu wao kujitukuza kwa kuteketeza miji ya watu !!!!
Hiii Vita isogee miezi 6 tu tuone nyeti za kuku... kama kuna m'bwa atabaki kwenye Ardhi ya Palestina, !!!
Iran jeuri zaid ya iyo Israel atakung,utwa mtu akuna cha USA akuna UN wakumzuiya Iran...
Hapo kuna mkweli na muongoKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Ulivyo Juha kumbe hata mimi Niko Tweet tu inakuwa kwako Source!! Acha ujinga!!!
Kama unaweza kutumia Mtandao wa X Basi pitia hapo. Kama upo Tanzania na hauna VPN basi pole yako....
Kwenye Twitter kuna wengi wanaweka hizo habari.
Haya ni tunayoweza kuonyeshwa, ila kiukweli yamefichwa mengi. Mwarabu si mwenzetu, wana ubavu acha wakapambane na hali zao. Ila tu kinachoonekana, Israel alijua ni kama mashambulizi ya nyuma, hakika angejua atapata kipondo cha staili ile, asingejiingiza kichwa kichwa.Israel wamepata walichokua wanakitafuta
Wewe utakuwa umevuta bangi iliyochanganywa na mavi ya ng'ombeNi aibu sana wewe kuwa mlevi mchana huu hii ndiyo shida ya kula Maharage ya jana!!!