Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Israel anapiga sehemu nyeti kama vile site za kurushia makombora na viwanda vya siraha. Huku Iran yeye anarusha maroketi hovyo tu bila target.

Mwishowe Iran ataishiwa nguvu za kurusha hivyo vikombora vyake.
Kikubwa si na yeye amerusha na kufikisha lakini? Kwenye kushinda, mmoja lazima ashinde, na mwingine lazima ashindwe.Japo haijulikani atakuwa nani
 
Ndio walivyokwambia?
😂 😂 😂 Kiufupi hivyo vinu ndio basi tena itabidi waanze upya, na wakianza Myahudi anakuja kulipua tena.
Vinu viko salama kama unabisha bisha.
Vinu vimehamishwa vimepelekwa sehemu nyingi.
Wenzako wanalalamika huko kuwa sehemu vinu vilipopelekwa huwenda vikawa vinachakatwa kuundwa Bomu,hiyo sehemu ilipuliwe haraka.
Na wa kulipua ni USA kwa kutumia B2 bomber.
 
Kikubwa si na yeye amerusha na kufikisha lakini? Kwenye kushinda, mmoja lazima ashinde, na mwingine lazima ashindwe.Japo haijulikani atakuwa nani
Nakwambia hivi kaka hii itatokea kama vita ya 2006 ya Israel dhidi ya Lebanon.
Alijikweza sana Israel na kusema kuwa inaiteketeza Hizbollah.
Mwishowe alirudi kukaa mezani mwenyewe kuzungumza.
 
Anachoshangaza huyu jamaa unaweza ukamletea hadi ushahidi toka kwa wazungu na akakwambia kuwa sio credible source ya kuaminika.
Dah! Tatizo la wabongo bhana. Watu walijenga mijengo yao, kwa pesa zao, utafiti wao, silaha zao, wanabomoa vya kwao, watavijenga tena wao, af mtu huko Ruvu au Ifakala kwenye mpunga, anasikitika na kutuaminisha kamasi za ubongo wake
 
Kikubwa si na yeye amerusha na kufikisha lakini? Kwenye kushinda, mmoja lazima ashinde, na mwingine lazima ashindwe.Japo haijulikani atakuwa nani
Ni ujinga! Mwishowe hata Syria inaweza kuja kumpiga Iran maana makombora yote yatakuwa yamelipuliwa na Israel yakiwa ndani ya Iran au yametumika kupiga empty target huko Israel.
 
Nakwambia hivi kaka hii itatokea kama vita ya 2006 ya Israel dhidi ya Lebanon.
Alijikweza sana Israel na kusema kuwa inaiteketeza Hizbollah.
Mwishowe alirudi kukaa mezani mwenyewe kuzungumza.
Hiyo Hezbollah iko wapi sasa?
 
Asante mkuu. Umeuona ujumbe wa Mario Nawful? Yeyey hanaga kona kona. Kilichopo anakisema kama kilivyo.
 
Ni ujinga! Mwishowe hata Syria inaweza kuja kumpiga Iran maana makombora yote yatakuwa yamelipuliwa na Israel yakiwa ndani ya Iran au yametumika kupiga empty target huko Israel.
Dah! Haya bwana. Kwa hiyo, tayari mnajua na idadi ya makombola, anakotoaga, na kila kitu? Mbona israel haiishiwi sasa? Iweje Iran ndo aishiwe? Vita ni vita siyo Delby ya Kariakoo kama mnavyodhani. Mpaka anaamua kuyarusha, na yeye anajua anachokifanya. Wazungu na wenye uwezo wamekaa kimya, hizi habari mbongo ndo anazijua sana tu
 
Umeshaskika mlio huko Israel. Drones ka mvua tu
 

Attachments

  • markup_1000002958.png
    203.1 KB · Views: 21
Sijategemea wewe ugeuke, Iran hana Kosa so unamaanisha Israel kajiamulia tu from wake up in the morning na kuanza kupiga tu, dah hapo Iran kuna saa kubwa ya digital inaonesha dakika zilizosalia waanze kuishambulia Israel, what are you talking about, Iran recently walisema Israel Lazima iangamie, vitisho vyote vile hata Tanzania ingetishiwa na Iran tusingesubiri waanze wao kisha tulikuwa, Everyone know Hezbollah anapewa silaha na Iran,Hamas,Islamic jihad,Houthi, kule Iraq kuna kundi pia wote wanatumwa kuishambulia Israel na Jama wa Iran wamesema wataendelea kuwapa silaha kuiangamiza Israel na wanataka Israel isiishi kwa Amani lengo kuu
 
Hata trump amesema waache wapigane kwanza wataamuliwa baadae.
Ukiona wanaume wanataka kupigana mtaani mnawaacha kwanza wakiishiwa pumzi ndo mnaingilia
 
Hata trump amesema waache wapigane kwanza wataamuliwa baadae.
Ukiona wanaume wanataka kupigana mtaani mnawaacha kwanza wakiishiwa pumzi ndo mnaingilia
US hawezi kuwa msuluhishi ktk hili kwani yy ndiye aliye sababisha haya. Labda amuombe Mchina na Mrusi, US haaminiki tena kwa Iran na ni mnafiki. Mission yote alikuwa anaijua hata taarifa za hao viongozi wa Iran yy ndiye aliye zikusanya,then mwenzake kaexcute mission. Iran viongozi wake walifanya makosa kukaa meza moja ya mazungumzo ya usuluhishi ya silaha za Nuclear na US. Hapo ndipo US akapata mwanya wa kuanza kuwafuatilia na mistake zaidi waliyo ifanya ya kuishi maisha ya kawaida ,kwani kabla ya mazungumzo walikuwa wanaishi kwenye mahandaki.

View: https://m.youtube.com/watch?v=6sDG0aqjGlc
 
Irani yeye mpaka arushe mabomu toka kwake kwenda Israel!
Wakati huo Israel yeye yupo juu ya anga la Irani kuwinda hayo mabomu na kiyalipua huku akipiga target nyingine muhimu za kijeshi, sasa niambie kwa hali hiyo Iran anachomokaje?

Kumbuka pia wapo mbalimbali hawezi kupeleka askari wa aridhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…