Mikwara ya nini?Wanaiendeshea wapi mbona hatusikii ile mikwara yao?
Ulivyoandika kama mtoto wa darasa la 3B..Echolimai kabaki yeye kwa ujinga wako ISRAEL inateketea Muiran inaonekana anatembea na maneno yake!!!
ISRAEL inawatu wajinga sana ni Upumbavu kuzani kuwauwa wakuu wa taasisi kubwa pale Iran ndio watashinda Vita !!!
nawaambia apa kwakuwa Waisrael ni zaifu waoga sasa wanatumia mbinu za watu zaifu nayo ni Ugaid ivyo watawauwa rais wa Iran na Ayatollaah na Mawaziri kadhaa !!!
wakidhani itasaidia kumbe ndio kujiangamiza wenyewe !!!
leo Tramp kajidai kaizuiya ISRAEL eti isimuue Ayatollah lkn ukweli upo ivi Tramp muoga wakuuwa yeye na IRAN au kupigwa ndege yake!!!
ndio wakatengeza Propaganda ya Vote kula ya kuzuiya kumuuwa Ayatollah kutoka apo Kapanda Ndege kwenda kwenye Mkutano wa G7 !!!
Uwoga wake wa Kifo ndio wakatengeza iyo ajenda.. kufanya Wairan wasiangaike nayeye Tramp janja yake ya kitoto
Ukiwaambia wagalsw
Kwamba hizo vinu ni mahunia ya viazi unajibebea tu!?Vinu viko salama kama unabisha bisha.
Vinu vimehamishwa vimepelekwa sehemu nyingi.
Wenzako wanalalamika huko kuwa sehemu vinu vilipopelekwa huwenda vikawa vinachakatwa kuundwa Bomu,hiyo sehemu ilipuliwe haraka.
Na wa kulipua ni USA kwa kutumia B2 bomber.
Leo hii Hezbollah wamekuwa wakushrutishwa kuweka siraha chini na wana kubali?Mikwara ya nini?
Au unajisahaulisha kama USA na France walienda Beirut kuishinikiza serikali ya Lebanon iishurutishe Hizbollah waweke silaha chini?
Soma ripoti wanazoleta wenzako humu.Kwamba hizo vinu ni mahunia ya viazi unajibebea tu!?
Si umesema Vipo chini ya ardhi na havijafikiwa? Sasa unasemaje tena kwamba wamehamisha?
Unataka kumaanisha nini kwa kusema nieleze kilichotokea??Leo hii Hezbollah wamekuwa wakushrutishwa kuweka siraha chini na wana kubali?
.
Hezbollah wale wale waliopa kuangamiza Israel? Hebu twambie kilitokea nini mpaka wakakibali kuweka siraha chini.?
Sasa mimi si ndio nilikuwa nakwambia toka awali kwamba kwa mitikisiko ile ya mabomu ya Myahudi hizo site si salama tena ukawa unabisha?Soma ripoti wanazoleta wenzako humu.
Kwani kinu hakiwezi kuhamishika?
Hata kama havijafikiwa vipi kuhusu mtetemo uliotokea?
Sio sehemu salama tena kukaa kwa mtetemo uliotokea.
Hujui kama wameingia kwenye bunkers, AKA SHELTERKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
😂 😂 😂 Kwahiyo Hezbollah siku hizi wamekuwa na adabu kiasi hicho,?Unataka kumaanisha nini kwa kusema nieleze kilichotokea??
Serikali nzima ya Lebanon imewajia juu na kuwataka wasitishe mapigano na Israel baada ya US na French officials kutembelea Beirut.
Kama serikali kuu ikaja juu unadhani wao watafanyaje ilhali wao ni sehemu ya serikali sio serikali nzima?
Kama wangekataa unadhani nani angesimama nao baadae?😂
😂 😂 😂 Kwahiyo Hezbollah siku hizi wamekuwa na adabu kiasi hicho,?
Kumbe ile mikwara yao ilikuwa ya nini basi?
We ulisema vinu vimeharibika kabisa.Sasa mimi si ndio nilikuwa nakwambia toka awali kwamba kwa mitikisiko ile ya mabomu ya Myahudi hizo site si salama tena ukawa unabisha?
Alafu unaposema wamehamisha, hivi hivyo vinu viko kama vya kutwangia mahindi eti?
Hapana huyo boya Kuna kipindi alijifanya kapigana vita ya Kagera.Au ni Gentamicyne karudi kwa ID nyingine😀😀😀😀
Mkuu anapumua huyo bado ponda kichwa kabisaaSasa mimi si ndio nilikuwa nakwambia toka awali kwamba kwa mitikisiko ile ya mabomu ya Myahudi hizo site si salama tena ukawa unabisha?
Alafu unaposema wamehamisha, hivi hivyo vinu viko kama vya kutwangia mahindi eti?
Wamehamisha saa ngapi wakati toka ijumaa ni nginja nginja mwendo wa rocket tu toka kwa Myahudi?We ulisema vinu vimeharibika kabisa.
Kwahiyo haiwezekani kuhamishika??
Wali restore Air defense system saa ngapi hao Iran na walirejesha missile launcher saa ngapi mkuu zile zilizoharibiwa ijumaa???Wamehamisha saa ngapi wakati toka ijumaa ni nginja nginja mwendo wa rocket tu toka Myahudi?
Kwahiyo Hezbollah siyo kama Hamas bali kuna mtu wanatemtegemea?Kama wangekataa unadhani nani angesimama nao baadae?
Hizbollah ni sehemu ya serikali sio serikali kuu.
To be honest mimi bado sijaona impact ya Iran hadi kufikia kuona WANAJITAHIDIIran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908