Iran wameizidi Israel kwa kila kitu, Israel hamna kitu mle isingekuwa USA kuisadia Israel ingekuwa ishafutwa kwenye uso wa dunia maana wayahudi hawajimudu kwa chochote kile. Wanajeshi wa Iran wameipiga Israel na wanafanya mazoezi makali yakuendelea kuchakaza Israel. Huyo hapo ni mwanajeshi wa Iran akiwa kwenye mazoezi mazito na makali mnoIran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
Juzi kati kazindua generation ya 5 ya fighter jets, ampe Irani tuzione.Ukimuona mchina hapo...nifukuze JF
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908kumbuka Iran ndio mwanzilishi wa vita, alirusha makombora yake zaidi ya mia tatu kwenda Israel kuwasaidia Hamas. Israel kajipanga vizuri kwa sasa ameamua kulipiza kisasi.
Huu mlipuko wote afu ndo mmeua watu chini ya 20 😂
tumetuma vimondo mda huu, hatuui watu, tuna target zile ADs zilizo kwenye makazi ya watuHuu mlipuko wote afu ndo mmeua watu chini ya 20 😂
Iran hamna kitu nyie 😂tumetuma vimondo mda huu, hatuui watu, tuna target zile ADs zilizo kwenye makazi ya watu
sawa kabisa, vimondo viko njiani mda huuIran hamna kitu nyie 😂
Mlipuko mkubwa afu ghorofa hata halitingishiki 😂sawa kabisa, vimondo viko njiani mda huu
kama ilivyo ada, kituo cha kwanza ni Haifa
sawa, ila tunapiga AD iliyofichwa nyuma ya ghorofa, na siyo ghorofaMlipuko mkubwa afu ghorofa hata halitingishiki 😂
Pizda tfui MatUlivyo Juha kumbe hata mimi Niko Tweet tu inakuwa kwako Source!! Acha ujinga!!!
Naunga mkono hoja, Yale ya ironed dome haipenywi zilikua porojoKuna censorship inayoendelea sasa hivi. Hizo namba zinaweza zisiwe sahihi.
Hujiulizi kwa nini Marekani imelazimika kusogeza manoari iliyosheheni ndege vita Middle East!? Hali si shwari kwa mbia mwenzakeIran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Mmh mda mwingne najiuriza hizi nchi kwa ubabe huo wa wakubwa, ila wahanga ni raia.
Ila marekani cjawah kusikia vita, au ndo new world order.?
AiseeUnaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
Israeli wameanza kubana habari za kuonyesha wanavyopigwa. Wakati octoba 7 walikua wanaonyeaha kila walichokifanya hamas.Aisee
Ilivyo Tel Aviv na Jerusalem saiv ni kama Gaza tuMkuu kwa ubora wa makombora ya Iran....
Iran imevurumisha makombora zaidi ya 200 na yalio tua na kuleta uharibifu wote huo ulio utaja ni makombora yasiozidi 10
Kwa muktadha huo kama sio mfumo dhabiti wa ulinzi anga wa Israel saa hii kwa hayo makombora hata 100 tu yangetua Tel Aviv na Haifa zingekua vifusi kama Gaza.
Israel wako very smart kuliko Iran, kuanzia kujua kuwatumia hao MOSSAD ndani ya Iran, kuwatumia majirani yanakopita makombora na kuwa hadaa Iran wakitegemea mazungumzo kumbe wanataka kupigwa
Mkuu kwasasa Iran hali ni mbaya jamaa wanaijua Iran in and out, wana watu wao Iran pia
Sasa hivi anga la Iran lipo UCHIIII
Kurusha tu makombora imekua kipengele maana ndani ya dk sifuri baada ya kurusha fight jet zinaingia na kufumua
Njia ambayo Iran alikua anaitegemea sana na yenye ufanisi kiasi kupenya mfumo wa ulinzi anga ilikua ni kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ambapo mfumo unakua unazidiwa
Lakini sasa Israel ndio ina deal na hizo launcher
Ngoja tuendelee kujionea labda kuna ambayo hatujui
Israel kila nyumba na mtaani kuna Bomb shelters.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!