Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Ni siku ya pili ila Israel inaonekana kama Gaza, na bado mashambulio haya Iran atafanya kwa siku 10 mfululizo kama ishara ya salamu tu ile ya  Shalom baada ya hapo yataendelea mashambulio ya kushtikiza yasiyo na idadi
Israel hajaanza lipa kisasi kwa kushusha majengo.
Anachofanya sasa ni kumalizana na viwanda na makambi ya jeshi ili Iran asiweze tengeneza tena
 
Dogo fatilia vizuri hakuna siku Iran kaanza kushambulia , hata mwaka jana Israel ndo ilianza uchokozi kwa kupiga ubalozi wa Iran
 
Ya mwaka jana si yalishaisha hayo…

Ila, hata hiyo mwaka jana Iran hakuanzisha chochote.
Kwa mYahudi haviishagi hivyo. Muulizeni (RIP) Idi Amin Dada. Hawa jamaa siyo kama sisi. Hawa wana kiapo cha kulipiza kisasi.

Tuombe uhai. Utaona hata hii serikali yao ya kidini inaweza kupinduliwa.
 

Unasema Israel kuna sensorship, lakini umeshindwa kuleta hata picha moja ya huko Iran! Israel kuna demokrasia kubwa ndiyo maana unaweza kuona hizo picha. Hizo picha zimepigwa na waisrael wenyewe. Lakini huko Iran kuna utawala wa kidikteta, mwananchi hawezi hata kupiga licha akairusha mitandaoni kama inavyofanyika Israel, halafu akaendelea kuwa salama.
 
Huku no reform no election,huku vita ya udini kati ya waislamu na wakristo,huku utekaji,huku watu kuchinjwa Nigeria(;Benue state),huku gwajima el vs polisi na Ccm,huku deni la taifa,huku vita yako dhidi ya umasikini Waafrika sijui tushikie wapi aisee hatueleweki na wala hatujui waAfrika tunataka nini Na habari zote hizo waAfrika ni wasindikizaji na mbuzi wa kafara.
 
Israel hajaanza lipa kisasi kwa kushusha majengo.
Anachofanya sasa ni kumalizana na viwanda na makambi ya jeshi ili Iran asiweze tengeneza tena
Hizo F-35 wanazotegemea zikashushe majengo Iran, ndo hizi Iran wanazitungua hadi wao Israel na USA wenyewe wamekiri Iran ndo nchi ya kwanza kutungua hizo ndege , kwakifupi Iran wameshindikana , na mchakato wa Nuclear bado unaendelea Vinu vya Nuclear havijaguswa kwenye shambulizi lolote lililofanywa na Israel, na ikikamilka Nuclear ndo hapo hata USA hatajaribu tena kusogeza pua yake kufanya chokochoko kwa Iran
 
View attachment 3370925


Usichokoze Iran, utaumia
Kmmmmmmmmmmmmmk.

Nitajieni jina la hilo bomu nimpe mbwa wangu.

Na hiyo sio nyukria, asee vita ya tatu ya dunia ndio hiyooo imeanza wajameni.

TUNDU LISSU alisema "HIKI NI KIPINDI CHA SIASA NGUMU" - leo naamini.

Kuna mwanasayansi mmoja alisema, hajui vita kuu ya tatu ya dunia itapiganwa kwa silaha zipi,

Ila anachojua, vita kuu ya nne ya dunia itapiganwa kwa fimbo na mawe, let us see!!!!
 
Vitani lazima kuwa na damage Kwa kila upande, Israel wakifanikiwa kuondosha utawala wa ayatollah wataishi Kwa Amani zaidi ya Miaka 50 mbele pia hata kama kuna uaribifu ni rahisi Kwa wao kujenga tena sehemu zote zilizopata uaribifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…