Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Kombora likidakwa na air defence system huwa halitoi mlipuko

mlipuko hutokea likitwanga mahali tu

Sasa hao wanaosema ohh yalidakwa uongo
Milipuko ilitokea sehemu mbali.mbali Iran ikiwemo Tehran ikimaanisha kuwa makombora ya Israel yalitua penyewe na kutandika.Yangedakwa hewani kusingekuwepo milipuko aridhini.Yakidakwa hayalipuki wala kutoa moto

Ayatollah kapigwa huo uongo wa ohh tumeyadaka ni porojo
 
Basi Iran ndiyo mbabe, Marekani na Israel hakuna kitu.

Si ni hicho tu au kuna kingine?
 
Wanataka kuona Iran ikirusha vikombora vyake basi kesho yake Israel nayo ijibu.

Haya siyo mambo ya vigodoro vya Mwananyamala Kisiwani.
Unajua nchi hii ina watu wengi wagonjwa wa akili
Hawaupendi ukweli, hawashughulishi akili zaidi ya kushabikia vitu kwa mkumbo kama mazuzu.
 
Inaonyesha hata zile za kukusaidia kujisafisha kule hamnzo kabisa🤣🤣🤣
 
Yaani zimepanguliwa kama mtoto hata kufika level ya chini hazijafika ....Israel analinda heshima maana atawaangusha wanaomini ni taifa la Mungu ila hana kitu .


Angalia hapo Iran kwake na israel alivypigwa ..Mpaka sasa Iran 3 - 0 israel
Hiyo milipuko ilikuwa yanini hapo Tehran kama makombora yalipanguliwa?
 
Bado wanafanyia orientation namna ya kuyatumia
 
Hivi ile mitambo ya kuona adui kabla hajashambuli ile alipewa na Russia ilikuwa imesinzia jana?
 
Mlisema Israel hawezi kuthubutu kujibu lile shambulizi la Iran kwa kurusha hata kombora 1, sasa amerusha ndege chache tu mmeanza tantarila zingine huku mkisahau kauli yenu ya mwanzo.

Halafu kushambulia Nuclear bases siyo jambo dogo mjue.Hiyo tayari itageuka kuwa World War III. Israel inajua athari zake zitakuwa kubwa sana. Hata huyo Iran anajua Israel ina nuclear, kwanini nayeye hapigi nuclear bases za Israel? Mnafikiri ni masihara eeeeh?
 
Jamaa kwa kujifariji hamjambo, tokalini makombora yakapanguliwa ardhini, video zimeonyesha vyuma vikitua ardhini, tuonyeshe huo mfumo wa ulinzi ulivyopangua hayo makombora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…