Hakuna lolote bwana, damage ni ndogo sana. Ingekuwa uharibifu mkubwa umefanyika media zingechachamaa kujisifu.Mimi nafuatilia Al Jazeera now. Hivi Irani hawana mifumo ya kuzuia makombora kweli? Where are the S-400 as regarded as the most advanced ant missiles?
Aaah kobaz umefika?π€£Ooooh, ebu tuone utimamu wako wa akili hapa chini.
Hiki ulichokiandika hapa kinathibisha kuwa na wewe ni mmoja kati ya wagonjwa wa akili.
Ndio nini sasa?
Ngoja panoge jeshi namba 6 duniani liende likatie backup huko Iran kisha tuone labda linaweza likaimaliza vita hiokwan Iran hata yeye si anafanya chini ya Urusi? yeye kama yeye ana jeuri hata ya kurusha jiwe kwa manati?
Mkorofi ni Iran siyo Israel. Irani anaingilia vita isiyomhusu akijifanya mwamba mashariki ya kati ! Acha apigwe.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...π€£
Na mrusi atahakikisha THAAD imechezea Iskander za kutosha hadi ipate kiweweπ€£.Sasa ni wakati wa kuipima THAAD umefika...this time YEHOVA atakimbia pale kwa watu wa mchongo maana kila kitu kitalipwa mpk pomoni
Playlist yangu inakosaje ngoma kama hiyo?Weka huu wimbo kwa playlist -Bob Marley & The Wailers - War
Acha kulia π π π Piga mswaki.!Si ulibindua mdomo hawezi kufanya chochote. UONGO UZUSHI UNAFIKI.
sasa lengo lilikua ninkufanya mashambulizi mzee..wewe ulitaka watume ndege muda gani umekaa na bando lako la jero unawapangia watu?waliziacha kwa sababu anga lao lilikuwa lina ndege za abiria na waisrael walitumia huo muda kutuma ndege na kuondoka kwa haraka kabla ya irani kufunga anga ...sasa baada ya iran kufunga anga mwambie Israel atume ndege sasa uone kama zitarudi .
Ila kapigwa au hajapigwa? Iran kashushiwa mibomu au hajashushiwa?Hakuna lolote bwana, damage ni ndogo sana. Ingekuwa uharibifu mkubwa umefanyika media zingechachamaa kujisifu.
Hahaha tunasubiria watuombe misaada ya watu wa kwenda kufanywa walemavu wa kudumuPlaylist yangu inakosaje ngoma kama hiyo?
unahisi USA atasema direct anahusika mkuu? Hivyoo vyombo vya USA vilitoka germany kuingia israel ndo kuhusika kwenyewe hukoo. Ukishaona mgogoro Urusi ikitia pua jua USA lazima aweka mkono wake.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...π€£
Wasingesaporti ujinga ule kwa hamas ningeelewa kuwa Wana huruma.Iran mkubwa wewe , hapo ndio utaona israel hana uwezo π π π
Iran yaani mashia wana huruma ila wakiamua wanafanya atrocities pale Israel mpaka mtabaddilisha maandiko kweny vitabu vyenu .
Mbona mnakimbia kenge nyie? Acheni kuwatesa wenzenu kwa kuwafunga magerezani hata nyumba ya Ntenyulu kachukua ya mpalestina kama sio dhulmat .Wasingesaporti ujinga ule kwa hamas ningeelewa kuwa Wana huruma.
Ndege 200 zote zinashusha mvua ya mawe utazuia ipi utaacha ipi mawe lazima yanyeshe tu hakuna namna hapo Mzee Ayatolah fasta ageuke Yahaya akajifiche Chini ya ardhi maana kifuatacho kwenye vyombo vya habari kitawashangaza wengiAyattolah sijakuzoea hivi ,uliahidi dakika kumi na tano tu,F35 zitakuwa zinapishana na missiles.Au ndio kuufyata mkia ?! Sikuelewi mjomba wangu .
Ngoja inyeshe kwanza baadae usije ukabadirika maelezo kwa Hamas uliweka mpaka bendera yao kwenye avatar sasa kiko wapi sasa weka bendera ya Iran halafu mwisho utajikana mwenyewe wewe na nafsi yako, kile unachokidharau ndicho kitakachokuuaMbona mnakimbia kenge nyie? Acheni kuwatesa wenzenu kwa kuwafunga magerezani hata nyumba ya Ntenyulu kachukua ya mpalestina kama sio dhulmat .
Subiria panoge sisi hatutaki kusikia The USA sijui NATO kufanya nini tunachotaka nani kadundwa, Hamas chali akaingia Hezboloh nae chali sasa kabakia kaka yao mkubwa nae tusubirie kuona anatupa taulo chini huku Qatar, Saudia wamesema hio vita haiwahusu maana wanajua wakitia pua zao tu na wao wanachakazwaunahisi USA atasema direct anahusika mkuu? Hivyoo vyombo vya USA vilitoka germany kuingia israel ndo kuhusika kwenyewe hukoo. Ukishaona mgogoro Urusi ikitia pua jua USA lazima aweka mkono wake.