Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nioneshe ndege ipi imefika kweny anga la Iran ?Tumia akili kwa hicho unachokisema badala ya UZUSHI. Kama iran aliziharibu ndege zikiwa Israel alipopiga .Sasa kwanini asingetungua ndege zilizofika kwake Iran zisitoke hata moja?.
Kama umekubali wametoa information wao pia huna huwakika ni kwa kiasi gani wamepata madharaIran wamesema batteries zimelipuka , tena asubuhi na mapema ila hakuna kambi imepigwa kwa sababu zifuatazo :- upigaji wa Israel hakuna kombora zito na kilichotokea upande wa batteries ni operation ya mfumo ngeni sana kwao .
Bro hivi tunaelewana kweli nimekwambia onesha ndege Moja tuuuu iliyo pigwa 😁Mbona watu wanaonekana wanalia , wameinama chini ....Angalia rate kuzuia yanafika mpaka chini ila iran kama zirushwa baruti.. 😀 😀 😀
Naona huelewi , wanasambaza picha za uongo mpaka mitandao inawakataa ndio tatizo 😀 😀 😀 Video ya juu hata BBC wametoa ni kwamba zote zilikuwa completely intercoepts , ila tambua zinapozuiliwa sio zinapotea bali mabaki yanadondoka .Kama umekubali wametoa information wao pia huna huwakika ni kwa kiasi gani wamepata madhara
moja ya kitu muhimu kwenye uwanja wa vita ni Siri
inaweza kuna vifo na madhara makubwa kwa shambulio la jana ila lazma u minimize kubalance muzani
jeshi la Israel kila siku wanajeshi wanakufa ila huji kusikia "Leo katika operation tumepoteza wanajeshi 50"
Umeona makombora yalivyshuka huo usawa ? Usile fanya kujibu .!😀😀😀Bro hivi tunaelewana kweli nimekwambia onesha ndege Moja tuuuu iliyo pigwa 😁
We unajua Iran alipo piga target kule Israel walikufa wangapi, mwambie Israel akuelezekwahio mdau ulitaka wafe kama watu wangapi hivi?😁😁😁😁😁😁😁😁
Mbona unajikanyaga swali dogo tuNaona huelewi , wanasambaza picha za uongo mpaka mitandao inawakataa ndio tatizo 😀 😀 😀 Video ya juu hata BBC wametoa ni kwamba zote zilikuwa completely intercoepts , ila tambua zinapozuiliwa sio zinapotea bali mabaki yanadondoka .
Mkasema sehemu ya biashara imepata madhara , watu wakaonesha mud huo watu wanaendelea na shughuli zao bila wasiwasi ...Ishu msizambaze picha za uongo kwa sababu hamuwezi kutudanganya wenye akili na uongo wenu .
Mfano kuna bomu lenye nguvu limefika hata usawa gorofa ?😀😀😀zote zilikuwa baruti.
Ndio nimeona kwa sabab Kuna mtu Aliweza ku record ilo tukio na tumeipata iyo videoUmeona makombora yalivyshuka huo usawa ? Usile fanya kujibu .!😀😀😀
Iran
Umeelewa nilichaondika lakini , katika operation ....Sasa niambie israel walilenga hzo air defense .Mbona unajikanyaga swali dogo tu
Hizo battery zimelipuka na nn?
Hao Askari wameuwawa na nini?
😀 😀 😀Yale ndio makombora sio mnarusha baruti , tena mnasogea mpaka jordan na iraq ...Zile ni long rage missile ,Ndio nimeona kwa sabab Kuna mtu Aliweza ku record ilo tukio na tumeipata iyo video
Kwa Iran Hamna Alie record ilo tukio zaidi ya zile intercept lakn swali dogo tu Kama hakuna missile imepiga hao Askari na battery zimepigwaje?
Israel naye si anapewa na EU na USAWanajifanya hawaoni, alafu kumbe AD ni S400 za mrusi kampa Iran kumbe nae hamna kitu 😀😀
Anapewa nini.Israel naye si anapewa na EU na USA
Myemeni kumbe jusi kuamkia jana katuma vitu, kabamiza kambi ya jeshi halafu wakaingia mitaani kushangilia:Mazayuni na kondoo zao wameumizwa sana na iran kupanguwa mashambulizi yao kiulaini kabisa.
Hezbollah wanaendeleza kichapo chao cha kuwanyofoa nyofoa mazayuni kama oawaida.
Ngoja niwatafute na Wayemeni wanasemaje.