Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Tulieni hivyohivyo Dawa iwaingie, mlisema IDF hawawezi sogea Iran, sasa anga yote iko chini ya Mazayuni mmake.
 
Mzee si tule makande yetu hapa hawa white people ni wasenge wote ni ujinga wa hali ya juu kwa miafrika kufuatilia hiz mambo wakati hapa Sudan na congo blacks wanauana ila hiz madea zipo kimya.
 
Akili ya madrasa haiwezi kuukomboa ulimwengu.Ita mhadhara ulinganie dini yako sisi tunashuhudia muajemi akichapika

Hiyo ni akili ya kukuamsha wewe uliyelazwa na Uteule feki. Wamebandikwa na mapadri wa kizungu ili wakulaze wewe. Wateule wako ni watu waliopata tabu sana miaka na miaka elfu. Walifukuzwa wote mara 1035 Katika dola nyingi Ulaya. Historia ta karibu 1940’s wakiristo wenzako Ujerumani waliwaua million sita.
Ukorofi wao sio uteule wao uliwatimo humo na sasa mbinu za wamagharibi na marekani kuihamisha hiyo cancer yao ndio ilileta migogoro mashariki ya kati. Ilikuws kwanza wateule wapewe uganda. !!
Hapo ungeujua uteule wao. Tanzania, kenya ingeonja uteule huo😂
Mwishoni meingereza kawakatia Palestine ili aupuke na hawa wakorofi wafisadi waua mitume waligeuzwa na mapadri wa kizungu kuitwa wateule.
 
Mzee si tule makande yetu hapa hawa white people ni wasenge wote ni ujinga wa hali ya juu kwa miafrika kufuatilia hiz mambo wakati hapa Sudan na congo blacks wanauana ila hiz madea zipo kimya.

Uteule feki unatambisha😂
 
Hapo hamna retaliation, ni upuuzi tu...
Na mie niliona Blinken alivyoondoka Israel na Israel ikafanya retaliation , ina maana kuna kitu US na ISrael walipanga juu ya hili.
 
Nauliza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unaulizwa jina lako nani, unaanza kujibu "mimi naishi kibong'oto".

, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?

😂😂
 
Kumbe ni Marekani inamlipia kisasi Israel halafu sisi tunaisifia Israel kuwa ni mwamba
Yaani unajua kabisa huyu dogo ni mtoto wa Jenerali halafu unamletea ubabe unamtia makonzi. Halafu dingi akiingilia kati unanza kujiliza.

Israel ataendelea kudumu pale miaka na miaka kwa sababu ya aina ya approach yake kwa mataifa mengine.

Huo upande wa pili unahubiri siasa za udini, wakijaribu kuwaaminisha mataifa hii ni vita ya kidini. Hapo Israel kuna Waislamu kibao wanauwawa kwa makombora ya hao jamaa ila mbele ya Iran na vikundi vingine tunaaminishwa maisha ya Muislamu yenye thamani ni ya wale wa Iran na Palestina.

Huyu Iran ana tuhuma kibao za kusupport mapinduzi kwenye baadhi ya nchi za kiarabu zinazoongozwa na Sunni. Halafu leo utake ushirikiano? Utaupata ila ni ule wa Kinafiki.

Huyu Myaudi anaungwa mkono hadi na baadhi ya nchi za kiarabu ndio maana pamoja na vita zote anazopigana bado yupo.

Badilisheni approach yenu kwanza ili mpate support ya kila mtu.

Na usisahau unapohubiri #FreePalestina ongezea na #FreeHostages.
 
Mgogoro wa Israel na Iran ni wa miaka mingi. Kwanini tusiamini labda anataka kumaliza tatizo once and for all?
 
Pamoja na ‘wehu’ wake, kipindi akiwa madarakani hakukuwa na hizi vita. Huu ni ukweli, hata kama haukupendezi.

Chini ya Biden/ Harris, vita kila kona.

Ni vizuri kwenda na hali halisi kuliko hypotheticals.
Lakini Trump ndiye aliyesababisha US Air force wakamlenga Qasem Suleiman, na Iran ikapiga kambi za US pale Iraq kama retaliation...
Trump namuita mwehu kwa sababu maamuzi yake ambayo huwa anatoa huwa ni yeye na halmashauri yake kichwani na kile anakiamini, sio kwamba namchukia.

Lakini Trump anaweza pelekea migogoro ME ikawaka moto zaidi huku Russia-Ukraine akimaliza migogoro.
 
Kwanza US ndio kahusika tulia uone warabu wa Gulf state watakavyo bamizwa pili Hakuna madhara sana ndege zimeishia nje ya mpaka zimerusha missiles karibu zote zimeangushwa wave zote mbili hakuna walicho fanya


View: https://youtu.be/kGyhCSNUnc4?si=_8dJEZfoN4SFPA1c
Kule Asfahan ndio wave ya pili ndio hakuna madhara yoyote yale.

Mimi naona Israel kapiga ili aonekane kapiga kajaribu kutafuta target zile Iran ataona haina haja ya kulipa, je Iran atakubali?
 
Na iwe kweli, nimechoshwa na maneno maneno. Piga nikupige. Allahamdulilah!
 
Ngoja tusubiri waajemi watasemaje lakini kilichofanyika na jeshi la wateule ni kichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…