Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

wazee wa kuji tekenya na kujichekesha
 

Trumph ni mfanyabiashara hapendi hasara kifedha.
Marekani inalipia vita hivi. Raia wa kawaida marekani ndio wanalipa thamani kubwa mpaka sasa billion zaidi ya 20 billion dollars. Huyu anapiga ovyo wao wanasota kwenye madeni na maisha magumu yajayo. Hayo mabomu moja tu sio chini ya mamia ya maelfu ya dollars.
 
Hakuna madhara yeyote pale Tehran hi walisha omba Iran kwa njia za rafiki yao mwacheni Israel aonekane kajibu 😄

View: https://youtu.be/AdB89vjUV7s?si=1PRaSRfPSm69zTb7
 
. Wote ni wamoja hawama Jimmy Carter
 
Hiyo ya Sulemani ilikuwa mwaka gani?

Halafu inachekesha sana kuona watu wakidai kuwa Trump atasababisha migogoro kuwaka zaidi huko Mashariki ya kati ilhali watu ambao hiyo vita imeanza chini yao wapo na hawalaumiwi.

Gaza imerudishwa kwenye zama za mawe. Maelfu ya Wapalestina wameuwawa na wanazidi kuuwawa.

Lebanon hakukaliki.

Iran nako hati hati.

Viongozi wa Hamas na Hezbollah wanachinjwa kama kuku.

Yote hayo yanatokea chini ya watu flani halafu tunaambiwa kwamba angekuwa au ikiwa Trump, basi hali ingekuwa mbaya zaidi.

Uzuri ni kwamba sisi wengine hatuna hiyo Trump Derangement Syndrome na tunayaangalia mambo kwa uhalisi wake.

Na uzuri mwingine unajua ni nini? Trump tayari alikwishakuwepo hapo na haya madhila ya sasa hayakuwepo hata kwa asilimia 1.

Huwezi kujenga hoja yenye ushawishi kwamba angekuwepo Trump hali ingekuwa mbaya zaidi wakati Trump tayari alikwishakuwepo na kwa kiasi kikubwa amani ilitawala.

Kinyume na hapo ni intellectual dishonesty tu.
 
Tuombe hii vita isitanuke Zaid maana sisi walala hoi ndio tutapata tabu
 
Usimuamini kabisa UsA, yupo nyuma ya kila kitu kama huamini rusha kombora utaona yeye ndio wa kwanza kulitungua
 
Trump analaumiwa kwa vitu ambavyo havikuwepo kwenye utawala wake.

Kwa jinsi alivyo, Trump anaweza kuwaambia Israel wajibebe wenyewe. Hakuna tena mambo ya dezo.

Trump huyu huyu ndo lawama wanachama wa NATO wake wanalipia share yao ya huo umoja na waache kuitegemea Marekani kubeba gharama zote.
 
Mayahudi kwa mara ya kwanza wamepiga shambulio la kioga kufuta aibu.
 

Umeandika Jesus and Israel forever. Ebu fafanua ki vipi?
- wayahudi wanamwita Yesu mwanaharamu na hawamtambui Jesus (Yesu) wala hawautambui Ukiristo. Hiyo link umeinyelea wapi??

Uteule umepotoshwa- usiamini kila ubiwalo, soma kidogo ujue ukweli.
Warumi ambao ni wakiristo waliwapa kichapo mayahudi kwa kosa la jinai la kumuua Yesu.
Wajerumani miaka ya 1940 waliwaua wayahudi million Sita. Wajerumani ni Wakiristo..
Etc.
Uteule uko wapi??😂
 
HAIJALISHI MKUU VYOVYOTE VILE BORA ISIWE KWENYE MRENGO WA MILA ZA KIARABU (UISLAM)
 
Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.
Huyo jamaa Hana akili achana nae , anakuja humu baada ya kuvuta bange zake na kumwaga pumba.
 
Ngoja tusubiri , kama Trump akisimamisha vita na hii migogoro ya ME na huko Ulaya itakuw vyema.
Jaribu kufuatilia january 2020 ndio aliuawa kwa order ya Trump mwenyewe...
Kwa kile kitendo Trump alipelekea mgogoro mkubwa ambao pengine vita ingeibuka, kwa maana Iran ilibidi kupiga kambi za USA pale ME...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…