IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Acheni Uswahili wenu yaani haki kashambulio ndio aweze kurudi kuingia na kutoka bila kuonekana nchi kubwa ile bwashee kuanzia kieneo na kiulinzi
 
Usitudanganye we jamaa.
Video zimeonesha ADS za Iran zikifanya interception.
Na wala mifumo yake haikuharibiwa kama unavyodai.
Pia ukumbuke Iran ina aina kama tatu za ADS.
Hivyo usijidanganye kama inaingilika kirahisi.
 
Israel haikuingia kwenye airspace ya Iran.
Ule umbali sio wa kutumia artillery kudungua.
Bro huongei na watoto hapa,artillery shells haziwezi zikafyatuka mfululizo na kwa kasi ya namna ile.
Na ndege zilishambulia nje ya airspace ya Iran sio ndani ya airspace ya Iran.
 
Kwa kamoto kale ndio uclaim shambulizi kubwa!?
Tena umeleta kapicha kamoja!?
😂😂😂😂😂😂Aiseeee.
Hata sihitaji kubishana na wewe.
tufanye Israel hajapiga iran wala nini, na iran haijapata madhara yeyote. sio kwamba nashabikia mapigano la, ila ukweli ni kwamba iran ndiye anasapoti ugaidi middle east na ni adui wa dunia nzima. hataki amani.
 
Acheni Uswahili wenu yaani haki kashambulio ndio aweze kurudi kuingia na kutoka bila kuonekana nchi kubwa ile bwashee kuanzia kieneo na kiulinzi
hata iran wenyewe wanashangaa kama wewe imekuwaje. ila ndege zote zimerudi nzima, na ziliendeshwa na pilots wengine wanawake wadogo kabisa. kwahio iran kapigwa na wanawake/wasichana kwa lugha nyingine.
 
tufanye Israel hajapiga iran wala nini, na iran haijapata madhara yeyote. sio kwamba nashabikia mapigano la, ila ukweli ni kwamba iran ndiye anasapoti ugaidi middle east na ni adui wa dunia nzima. hataki amani.
Adui ni Israel na USA.
Kama isingekua USA kuingilia sovereignty za watu middle east yale makundi yasingezuka na kupigana na Israel na USA.
USA na Israel wamefanya uharibifu maeneo mengi sana pale middle east.
Unaweza ukanambia 1958 Syria iliwakosea nini USA na Israel hadi wakaiundia mgogoro!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…