IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Nataman Israeli akimalizana na wavaa kobazi wa huko mashariki ya kati aje na huku awachape pia wavaa kobazi wa mashariki ya Afrika.
 
An Israeli source to the Wall Street Journal: Iran had four S-300 air defense batteries, and they are the most advanced systems in Iran's air defense system. During the Israeli attack on Iran this weekend, all these systems were destroyed. US officials said the strike on Iran's ballistic missile industry had stripped Tehran of capabilities it would take years to restore.
 
Je Iran iliporusha makimbora yake ulipata picha ya madhara yaliyosababishwa au uliishia kuona makombora yakipaa tu
 
Ndege 100 "armoured" zinaingiaje nchi kama Iran zisitambulike hata kama hazijafanya lolote?
Tuache ushabiki Iran anatakiwa akae chini ajiulize maswali na apate majawabu.
 
Kama kawaida yenu kujifariji. Mwanzon mlisema yamedunguliwa yote baadae uharibifu umetokea kidogo lakin sasa Iran kakiri wanajesh wanne wameuwawa na mashambulizi yalikuwa mikoa mitano tofauti.
 
Nadhani kama wamefeli basi sitarajii kuona Irani ikitaka kulipa kisasi.
 
Mnatamani sana kama ingekuwa kweli🤣 ila kimoyo moyo mnaiskilizia ilivyopenya!
 
40 casualties.

hivi hizo trucks huwa zinafanya hivyo kila siku>?

Hivi huwa unahesabu roho zinazoondolewa na wayahudi kule Gaza kila siku>?
 
Dunia nzima Tuliona moto mwingi sana ikiashiria kuwa mabomu yameanguka na kulipuka. Kule Iran mbona hata moto haukuonekana
Kwa hiyo hata kombora likidondoka kwenye ghala la mahindi na ukawaka moto mwingi basi unahesabu hiyo kama ni pigo kubwa?

hasara inahesabiwa na collateral damage ya shambulizi husika na sio ukubwa wa moto ambao umetokea sehemu ya shambulio.
 
Kama shambulizi halijafanya uharibifu, Kwanini Irani watake kulipa tena kisasi?

Hili swali gumu sana kwa mwendawazimu kulijibu kwa ufasaha.
 
Kama kawaida yenu kujifariji. Mwanzon mlisema yamedunguliwa yote baadae uharibifu umetokea kidogo lakin sasa Iran kakiri wanajesh wanne wameuwawa na mashambulizi yalikuwa mikoa mitano tofauti.
Waliouliwa wamekufa as a result of interception.
Battery za interceptor ndio zimesababisha kifo.
Pia hata kwa uelewa wako embu pimia ndege 100 zilete madhara ya namna hiyo huoni kuwa nguvu kubwa outcomes ndogo sanaa!?
 
Kama shambulizi halijafanya uharibifu, Kwanini Irani watake kulipa tena kisasi?

Hili swali gumu sana kwa mwendawazimu kulijibu kwa ufasaha.
Iran ilishaapa kuwa italipiza kisasi itaposhambuliwa eidha madhara yatokee ama laa.
Kwani Syria wanavyorusha roketi na iron dome inapozipangua kwanini Israel anaenda kushambulia Syria licha ya kuwa amedhibiti yale mashambulizi!?
Kitendo cha kushambulia nchi nyingine hata kama shambulio limezuiliwa ni sawa na kutangaza vita.
 
Uelewa wa watu ni mdogo sana.

Video zinaonyesha interception za guided missiles, maana yake missiles zikitoka somewhere far sio exactly kwenye Iran airspace, kama zingekuwa ni ndege tungeona surface to air missiles zikifukuza ndege na sio missiles to missiles.

Inaonekana Israeli alirusha guided missiles from outside Iran airspace au somewhere very far from the target, labda jangwani huko.

All in all tuombe amani na kuacha ushabiki dhidi ya maisha ya watu, maisha ya kila mtu yanathamani duniani na mbele za mwenyezi Mungu, Pasetians wapewe Taifa lao nao waishi kama binadamu kuliko yanayoendelea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…