Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Wanakumbi.

MPYA:

🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:

"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waongo hawana huo umoja hata siku moja unaijua israel ww unaijua NATO unamjua TRUMP trump hana majadiliano ni chuma chuma hata tz tutaingia we TAIFA LA MUNGU WANGU YESU ISAYA 9:6
 
Muda utaongea yote. Sisi wa huku kina maamuma tunaongea maneno mengi na kusema kweli mengi hatuyajui. Ujuaji tu
Sawa mkuu japo hiki ndicho kinachoonekana.
-Katika kikao cha Arab/Cairo peace summit hakuna mtu alidhani kama waarabu wangeungana na kuacha tofauti zao kidiplomasia dhidi ya Israel.
Na Allah akajaalia vikao vilizaa matunda.
-Haikua kawaida waarabu kumkaribisha Iran katika mataifa yao kwasababu ya ushia ila mara hii Iran anaalikwa Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu kwa heshima.
 
Saudi arabia wanajua matatizo ya vita akijichanganya NATO wanatia kambi kuiba mafuta
 
Halafu Lebanon ndio nchi ya kiarabu yenye wakristo wengi kuliko nyingine.
Ni kweli,na hapa ndio penyewe kwani Israel ndio nchi yenye wayahudi wengi,na wayahudi wanawawachukulia wakristo ni MALOFA
 
Na waislam wanawachukuliaje wakristo popoma jingine hili ✓
 
Saudi arabia wanajua matatizo ya vita akijichanganya NATO wanatia kambi kuiba mafuta
Ni ngumu NATO kutia mguu maana ardhi ya Saudi Arabia ikivamiwa itakua ni vita ya kidini.
Kumbuka ile ni ardhi takatifu kwa waislam.
Na kama vita ya kidini kila taifa la kiislam litahusika.
 
Sawa mkuu japo hiki ndicho kinachoonekana.
-Katika kikao cha Arab/Cairo peace summit hakuna mtu alidhani kama waarabu wangeungana na kuacha tofauti zao kidiplomasia dhidi ya Israel.
Na Allah akajaalia vikao vilizaa matunda.
-Haikua kawaida waarabu kumkaribisha Iran katika mataifa yao kwasababu ya ushia ila mara hii Iran anaalikwa Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu kwa heshima.

They have had meetings since 1948. Nothing concrete has been done or attained.
Wanadamu tuna mambo magumu sana. And any divided nation will collapse
 
Ni ngumu NATO kutia mguu maana ardhi ya Saudi Arabia ikivamiwa itakua ni vita ya kidini.
Kumbuka ile ni ardhi takatifu kwa waislam.
Na kama vita ya kidini kila taifa la kiislam litahusika.

Sasa US na Israel wanafanya nini Saudia?
 
Na waislam wanawachukuliaje wakristo popoma jingine hili ✓
Lebanon waislam na wakristo wanaishi vizuri tu bila bugudha yeyote.
Hata huko Gaza alipovamia Israel kuna makanisa yana historia ya miaka 300 mpaka 500 na hayakuvunjwa na wakristo wanayaabudu.
Ila ndani ya Israel wakristo wanashambuliwa na wayahudi .
 
They have had meetings since 1948. Nothing concrete has been done or attained.
Wanadamu tuna mambo magumu sana. And any divided nation will collapse
Those past meetings were not strong like these contemporary meetings done after October 7.
Arabs were not good enough on geopolitics,but now they are good enough and they proved so in Arab peace summit Cairo.
Israel's geopolitical image was tarnished world wide, even Imperialist nations like Belgium,Spain and Norway went against Israel.
And alot of nations voted for Palestine to be a free state and urged Israel to stop occupation,they also denied to recognize Hamas as a terrorist organization.
All these are the results of Arab/Cairo peace summit done in Egypt Cairo.
 
Mazayuni takriban million2 qameshaikimbia israel, wanafahamu imefikia mwisho wake.

Wataitema tu ardhi hiyo, kama si leo, kesho. Sasa hivi Wapalestimnna hawaachii tena, watawanyofoa hivyo hivyo kidogo kidogo mpaka wabaki mifupa mitupu.

Mambo ya kutishwa na NATO kizamani hakuna tena, Afghanistan kaifunguwa macho dunia.
 
Ni ngumu NATO kutia mguu maana ardhi ya Saudi Arabia ikivamiwa itakua ni vita ya kidini.
Kumbuka ile ni ardhi takatifu kwa waislam.
Na kama vita ya kidini kila taifa la kiislam litahusika.
Hahhaha nimecheka hayo maneno ya huyo mlokole eti Nato wataivamia Saudia😂😂
 
Anadhani hao NATO ni wajinga.
Ni kama tu masjid Al Aqsa,kwanini Israel hadi leo hajavunja huo msikiti ilhali alivunja makanisa Gaza yenye historia ya miaka zaidi ya 500!?
Wanajua kuwa bora vita zibaki kuwa za ardhi baina ya Palestina na Israel ,ila wakivunja huo msikiti wa Al Aqsa vita itakua ya KIDINI,maana baada ya Masjid Haram Saudi Arabia msikiti mtukufu wa pili ni al aqswa.
Ndio maana hawajavunja ili kuepusha vita za kidini.
Unadhani waislam wakisema tupigane jihad hapo middle east kuna atakayebaki!?
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom