Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Bado wanajitayarisha wakati wenzao wanateketea? Wanafiki sana hawa watu.Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani...
Saudi hakuna Utu kule.Saudi Arabia inaichukia Iran kuliko inavyoichukia Israel. Kitendo cha Saudi kupigana na Houthi pale Yemen ambao wanadhaminiwa na Iran kisa ni Washia ni kielelezo cha ugomvi wao.
Kwenye suala la Palestina hao China na Urusi wanaongelea sauti ya chinichini, somehow Turkey ndio anapaza sauti. Hao wengine ni formality tu.
Kuna watu humu ni tatizo kubwa sanaHuyu jamaa mambo anayokua anachangia humu, ukilisoma na juna lake, unaishia kurudia kuliandika tu basi moyo unstulia na unakua umekwepa dhambi ya kutukana😃
Wemzenu wanalia huko ninyi mnarushiana clips za Propaganda. Unajuo hilo ni tukio la lini? Ni pale mlipoachwa mkaingie mfanye vitakavyowaponza na vimewaponzeni kweli
View: https://youtu.be/7NWcGfT5sbc?si=dpbsoCT6poTj4vZv
Missiles za Hamasi zinavo miminika Asqalan yani Israel hawezi zuia hizo missile kupenya 😂
Kabisa saudi sikuihizi anaonekana ni kama kibaraka wa marekani hana kauliIran kwa sasa anakwenda kuchukua usemaji pale mashariki ya kati badala ya saudi arabia
Iran ni mfadhili wa kikundi cha kijeshi cha hezbollahni Irani au hizbollah?
na hamasi Je?Iran ni mfadhili wa kikundi cha kijeshi cha hezbollah
😂 dogo hio ni leo hata Israel wamekubali wamepewa kipigo we unaleta ujinga hapa.Wemzenu wanalia huko ninyi mnarushiana clips za Propaganda. Unajuo hilo ni tukio la lini? Ni pale mlipoachwa mkaingie mfanye vitakavyowaponza na vimewaponzeni kweli
Endelea kujidanganya vivyo hivyo, wanaachwa ili waendelee kutengeneza Justification ya kudundwa, ila hilo umelionyesha hapo siyo la leo. Mimi nililiona Jumanne iliyopita.😂 dogo hio ni leo hata Israel wamekubali wamepewa kipigo we unaleta ujinga hapa.
Israel wanajiharia wanaogopa kuingia Gaza nawalitoa onyo eti masaa 24 wataingia Gaza leo masaa 72 yamepita kimya wataishia piga majumba tu 😂
Ni Iran wenyeweNi Irani au hizbollah?
Ground warfare ni ngumu sana naona wengi humu mnachukulia poa sana. Wafanye mazungumzo ya amani maama Hamas kuwamaliza ni ngumu kuna watu zaidi ya million 1 Gaza pekee so wata recruit tena na tena na vita haitoisha zaidi ya civilians wa pande zote kufariki.Endelea kujidanganya vivyo hivyo, wanaachwa ili waendelee kutengeneza Justification ya kudundwa, ila hilo umelionyesha hapo siyo la leo. Mimi nililiona Jumanne iliyopita.
Ila ili Israel aendelee kuichimbua Gaza ni lazima the same Israel amjengee Hamas uwezo wa kuendelea kufanya mashambulizi ya hapa na pale.
Usidhani ni mafala wale, andaa mbegu za mihogo ukapande Gaza
Soma habari zao hapa kutoka BRITANICA .Moja ya sentensi zake inasema hivi Eventually an Israeli withdrawal was negotiated, with international peacekeepers stationed to prevent further missile attacks, but they had failed to crush Hezbollah.Irani mwenyewe anajua kuwa anajiongelea tu wala hata hayupo serious, anawashangaa ninyi mnaodhani kuwa yupo serious
Unaweza ukatuletea ukatuelezea kwa ufupi uharibifu wa pende zote mbili? Au tukuamini tu kwa kuwa umesema?
Hezbollah wana balaa sana na hii vita ili isiwe ndefu ni hao Hamas na Israel kusitisha vita ila sio hao jamaa nao waingilie kati wa Singida wataongeza bei ya mafuta watakavyo...Soma habari zao hapa kutoka BRITANICA .Moja ya sentensi zake inasema hivi Eventually an Israeli withdrawal was negotiated, with international peacekeepers stationed to prevent further missile attacks, but they had failed to crush Hezbollah.
Usifikiri sifuatilii, wala usifikirii mimi ni mpenzi wa ubuyu. Ninafuatilia sana tena kutoka multiple sources.Soma habari zao hapa kutoka BRITANICA .Moja ya sentensi zake inasema hivi Eventually an Israeli withdrawal was negotiated, with international peacekeepers stationed to prevent further missile attacks, but they had failed to crush Hezbollah.
Umejichanganya tena.Lebanon wala si jeshi ni kikundi tu na Israel ilifunga mipaka yote.Sasa kipi kilichofanya waingie makubaliano ya kusitisha vita na kuacha vikosi vya UN.huoni kuwa hali ilikuwa mbaya na ilitokea kinyume na nia yao.Walitafuta mwanya pa kutokea.Askari wake wengi waliuliwa na kilicho tia hofu ni vfaru aina ya Merkava kuripuliwa kirahisi na vikombora hafifu vya Hizbulah.Usifikiri sifuatilii, wala usifikirii mimi ni mpenzi wa ubuyu. Ninafuatilia sana tena kutoka multiple sources.
Pecekeepers mpaka wanaingia, tayari Israel alikua ndani ya Lebanon na alikua ameshaifunga nchi yotr, hakuna kuingia wala kutoka Lebanon, hakuna kutumia bahari wala anga.
Peacekeepers ndiyo walikuja ku rescue situation na UN ikaunda kikosi maalum cha UN ambacho kiliwekwa mpakani upande wa Lebanon kikiwa na Jukumu lazuia Hezbollah wasifanya chokochoko zao.
Hapo ndipo Israel ikakubali kuifungua Lebanon, na kuondoka na kuwapisha UN pale mpakani.
Hezbollah wanapigana kioga kwa kujificha nyuma ya raia hivyo Israel hata akiwaua inaonekana ameua raia. Kama Hezbollah ingekua ni jeshi wala UN isingeingilia, pia Israel asingepata taabu, tatizo ni kikundi cha kigsidi kilichojificha nyuma ya raia.
Hakuna vita nyepesi, hivyo kama mtu anadhani itakuwa ni ngumu basi ajue itakuwa ni ngumu kwa pande zote. Kumbuka hata Hamas walivamia Israel kama ground war na wengi walifyekwa kule na waliorudi ni chini ya nusu ya walioenda.Ground warfare ni ngumu sana naona wengi humu mnachukulia poa sana. Wafanye mazungumzo ya amani maama Hamas kuwamaliza ni ngumu kuna watu zaidi ya million 1 Gaza pekee so wata recruit tena na tena na vita haitoisha zaidi ya civilians wa pande zote kufariki.
Israel jeshi lake linatengenezwa na reservists then uwapeleke front line dhidi ya watu wasio na cha kupoteza!! It'll be brutal combat and should be avoided at all costs.
Kaka🤣🤣🤣, haki za binadamu zipo🤣🤒Ngoja muiname mswekwe