Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Ulikuwepo? Umeyashuhudia?!99% ya makombora yameshushwa. Hakuna tofauti na makombora ya Iraq ya scard.
Acha wazitumie mkuu. Si ndo zilichoundiwa? Sisi tuziojua hili wala lile,ambao leo hii ndo mashabiki,tutakufa nao tu. Maana hata huko wanakorushiana, kuna wasio na hatia wanaishia.Hivi ujui Isreal ana nuclear mbona mnaleta ushambiki kwenye vita wanasema na Iran pia ana nuclear Tuombe Mungu hawa jamaa wakae mezani yaishe Nuclear haina mbabe
Hiyo inaitwa target fall. Haiwezekani mwenzio akushambulie na aue majenerali wa ngazi za juu kbs arafu wewe ukalipe kisasi kwa kulipua majengo matupu😅 huo ni uoga!🤣🤣 sasa kwanini unalazimisha aue watu? Yeye target yake ni intelligence centres na Airbase
Hivi unawajua majenerali wa ngazi ya kabisa wa Iran? Aah majengo matupu eh endelea kujifariji.Hiyo inaitwa target fall. Haiwezekani mwenzio akushambulie na aue majenerali wa ngazi za juu kbs arafu wewe ukalipe kisasi kwa kulipua majengo matupu😅 huo ni uoga!
Ufanisi gani?Huenda ni wewe mleta uzi ndiye ambaye uko gizani na ulidhani Iran inatania.
Kama Israel ingedhani Iran inatania basi isingetangaza hadharani kuweka mifumo yake ya ulinzi katika utayari dhidi ya hali ya tahadhari. Matokeo yake, Israel isingeweza kukabiliana na mashambulizi kama ambavyo imefanya mpaka sasa na kwa ufanisi mkubwa.
Hapo wahanga ni Israeli, Iran na eneo lote la mashariki ya kati.kwa vile umejenga hoja kama mtu timamu( maana humu wachambuzi wasio na mihemko wamekuwa adimu), unadhan nani atakuwa mhanga zaid wa hali hii
Japo hatuombei, ila sidhani kama Marekani mwenyewe anaweza kujiingiza kichwa kichwa. Nae ana mahesabu. Kwani Ukraine amesaidia nini? Kumbuka, Iran nae si wa kuchezea chezea hivo,sema tu nguvu ya media ndo inamshusha kana kwamba hajiwezi. Katika ukanda huo,nani anakubali USA itumie anga au ardhi yake?Hata Iran amepeleka rasharasha tu amesema Isreal ikijibu tu basi atapeleka full dose wainywe vizuri.
Isreal hana ubavu wa kupigana uso kwa uso na Iran huwa anategemea support ya mabwawa zake USA na UK.
Hayo yaliyopenya yameleta madhara gani ukilinganisha ni kile kilichofanywa na Israel pale ubalozini Damascus?Ufanisi gani?
Asilimia kubwa ya mashambulizi yamezuiwa na Marekani , Uingereza, na Ufaransa yaani nchi nne zimeungana kuzuia mashambulizi lakini bado baadhi ya makombora yakapenya.
Hiyo Israel huwa mnaikuza hali ya kuwa bila ya Marekani ni takataka fulani.
Waisrael kwenye ubalozi wa Iran Syria waliua watu 8 akiwepo kiongozi mkubwa sana wa Jeshi la IranUjasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv,Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
Iran haija shambulia kwa ajili ya kuuwa watu bali ilikuwa ni kwa ajili ya kupiga base ya kijeshi.Waisrael kwenye ubalozi wa Iran Syria waliua watu 8 akiwepo kiongozi mkubwa sana wa Jeshi la Iran
Hayo makombora ya Iran yameua wanajeshi au raia wangapi huko Tel Aviv?
We jamaa uelewa wako mdogo sana....Jamani wemgine someni tu comments za wajuvi wa mambo ili mpanue maoblangata yenu... Kwausichofahamu Israel na Syria ni km Namanga TZ na Namanga KE... Ata kwa mguu unafika....Pili Diplomatic premises (ubalozi) hua haushambuliwi lile ni jengo tu halina threat yoyote sasa Israel kushambulia Jengo nayo nimafanikio kwako kweli?? Ebu jaribu kupitia military blogs za kimataifa ujifunze kitu.... Israel analindwa kwa gharama kubwa sana na US...bila US/UK/France na Jordan leo ingekua ni kilio kikubwa kwa Israel.... Jiulize Iran imeishambulia Israel lakini US president na baraza lake la usalama wamekaa kujadili as if US ndo kashambuliwa....Hayo yaliyopenya yameleta madhara gani ukilinganisha ni kile kilichofanywa na Israel pale ubalozini Damascus?
Target ya Iran haikua kwenye majumba ya watu km balozi....Target ilikua military na air bases... Sasa ubalozi nikama nyumba ya babako tu apo ulipo... Ata kibaka yoyote anaweza itaget na kuua familia nzima.... JF ni uwanja wa great thinkers na sio watoto km weweWaisrael kwenye ubalozi wa Iran Syria waliua watu 8 akiwepo kiongozi mkubwa sana wa Jeshi la Iran
Hayo makombora ya Iran yameua wanajeshi au raia wangapi huko Tel Aviv?
So wameharibu Military base ya Israel?Iran haija shambulia kwa ajili ya kuuwa watu bali ilikuwa ni kwa ajili ya kupiga base ya kijeshi.
Hapo ndo uone tofauti kati majeshi yanayo fanya kazi kwa weledi na yale yanao fanya kazi kama wahuni na wavuta bangi.
Sawa mama, Impact ya shambulio la Iran kwenye Military base ya Israel ni ipi?Target ya Iran haikua kwenye majumba ya watu km balozi....Target ilikua military na air bases... Sasa ubalozi nikama nyumba ya babako tu apo ulipo... Ata kibaka yoyote anaweza itaget na kuua familia nzima.... JF ni uwanja wa great thinkers na sio watoto km wewe
Ahahaha,kutengeneza trend nyingine tofauti na ile ya Iran kutumia vyuma toka Tehran mpaka TelAviv