us na washirika wake wakifanya uharifu mashariki ya kati au popote duniani mnaona ni sawa wacha itumike sheria ya jino kwa jino tu.
Sababy
Sababu ni kumpiga mmarekani ila kwa sababu hawana akili na wakakurupuka mwisho wa siku marekani had sasa ndio mshindi...kwanzia shambulio la Soleiman kuna wairan walikufa wale waliokuwa kwenye msafara..kwenye mazishi wairan wakafa..ndege hiyo waliyoitungua wairan wakafa....wamarekan wenyew wala wanadunda tu...Hasira hasara😂
Sababy
Sababu ni kumpiga mmarekani ila kwa sababu hawana akili na wakakurupuka mwisho wa siku marekani had sasa ndio mshindi...kwanzia shambulio la Soleiman kuna wairan walikufa wale waliokuwa kwenye msafara..kwenye mazishi wairan wakafa..ndege hiyo waliyoitungua wairan wakafa....wamarekan wenyew wala wanadunda tu...Hasira hasara😂
Ni kweli na ingekua vizuri bao lako lingepigiwa puli tu au kondomu ingetumika,tusingekua na hasara ya kua na mtu kama wewe hapa JF.mng'ato ni moja ya viumbe hai aina ya binadamu wenye IQ yenye uwezo wa chini mno... Mungu atuepushie mbali ongezeko la binadamu sampuli hii...
Amin...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka mwaka 1978 wakati ndege ya shirika la ndege la Iran ilipopigwa kombora na manowari za Kimarekani ?
Kaleta pua baada ya yule kenge wao mmoja kuuliwa kule ubalozini na wanaume wakashambulia kambi zake
Eti unajiita super power halaf kambi zako zinapigwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ujinga mfanyie PUTIN Uone Kama Utatoka Salama.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda walikuwa wanafanya mazoez ya kutungua ndege , au kombora lilipiga Kona kama risasi ya akwilina 😀 , USA amefanya shambulizi moja ambalo accuracy yake ni 💯 , walimtafuta mtu mmoja na wakamchakata huyo huyo bila kukosea ,Na walikufa raia wa Marekani wangapi katika hiyo ndege? So unaona ni sawa kutungua ndege na kuua raia wako mwenyewe kisa Marekani 1988 alitungua ndege yako? Kisasi cha kijinga kabisa
Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
Swali zuri Sana , Trump amesema ni minor effect zmetokea wao wamedai weziharibu hzo kambi and so many soldiers went down, watuonyeshe bas jins ilivyoharibika
Labda walikuwa wanafanya mazoez ya kutungua ndege , au kombora lilipiga Kona kama risasi ya akwilina 😀 , USA amefanya shambulizi moja ambalo accuracy yake ni [emoji817] , walimtafuta mtu mmoja na wakamchakata huyo huyo bila kukosea ,
Onyesha hata picha bas tuamin , tuone kambi ilivyoharibika, Sisi tunajua zmetokea minor effect na Kwa ukurupukaji wakaua raia zao wasio na hatia , USA imefanya shambulizi moja Tu na wote tuliona zile picha mpak na footage, tuonyesheni na nyie basvipi kuhusu 290
Onyesha hata picha bas tuamin , tuone kambi ilivyoharibika, Sisi tunajua zmetokea minor effect na Kwa ukurupukaji wakaua raia zao wasio na hatia , USA imefanya shambulizi moja Tu na wote tuliona zile picha mpak na footage, tuonyesheni na nyie bas
Na usisahau.Waache wachonge tu,safari hii Drone itakwenda kumsalimia Ayatollah moja kwa moja
Lengo lao lilikuwa kumuua jamaa,mission imeisha hakuna haja ya malumbano, bas wao wanataka maridhiano , Ila wakikataa tunakiamsha tu kama kawa
Lengo lao lilikuwa kumuua jamaa,mission imeisha hakuna haja ya malumbano, bas wao wanataka maridhiano , Ila wakikataa tunakiamsha tu kama kawa