Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Mkuu unachangia mada au?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijachanganya mada, nilikuwa ninamuunga mkono aliyesema USA ndiyo chanzo cha kuvurugika kwa amani ya dunia, ndege ya Ukraine imetunguliwa-- chanzo cha hayo yote ni Mauaji ya kamanda wa Iran yaliyofanywa na Marekani.

"Marekani sio baba lao bali ni jinga lao"
 
us na washirika wake wakifanya uharifu mashariki ya kati au popote duniani mnaona ni sawa wacha itumike sheria ya jino kwa jino tu.

Jino kwa jino kwa kuua raia wako mwenyewe[emoji22]? Umeona kuna raia yeyote wa US aliekufa kwa hiyo ndege?
 
Sababy

Sababu ni kumpiga mmarekani ila kwa sababu hawana akili na wakakurupuka mwisho wa siku marekani had sasa ndio mshindi...kwanzia shambulio la Soleiman kuna wairan walikufa wale waliokuwa kwenye msafara..kwenye mazishi wairan wakafa..ndege hiyo waliyoitungua wairan wakafa....wamarekan wenyew wala wanadunda tu...Hasira hasara😂

Kumbuka na wanajeshi 270 wa Amerika waliokufa kwa mabomu ya Iran,🤣🤣
 
Sababy

Sababu ni kumpiga mmarekani ila kwa sababu hawana akili na wakakurupuka mwisho wa siku marekani had sasa ndio mshindi...kwanzia shambulio la Soleiman kuna wairan walikufa wale waliokuwa kwenye msafara..kwenye mazishi wairan wakafa..ndege hiyo waliyoitungua wairan wakafa....wamarekan wenyew wala wanadunda tu...Hasira hasara😂

IMG_20200111_074930.jpg

Kupambana na mzungu kazi Sana , Jamaa wamejifanya hvi, unaua raia wako Kwa kukurupuka
 
Unakumbuka mwaka 1978 wakati ndege ya shirika la ndege la Iran ilipopigwa kombora na manowari za Kimarekani ?

Na walikufa raia wa Marekani wangapi katika hiyo ndege? So unaona ni sawa kutungua ndege na kuua raia wako mwenyewe kisa Marekani 1988 alitungua ndege yako? Kisasi cha kijinga kabisa
 
Kaleta pua baada ya yule kenge wao mmoja kuuliwa kule ubalozini na wanaume wakashambulia kambi zake

Eti unajiita super power halaf kambi zako zinapigwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ujinga mfanyie PUTIN Uone Kama Utatoka Salama.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo tunahamia kwa Putin siyo Iran tena? Unatungua ndege na kuua raia wako mwenyewe? Kisasi cha kijinga kabisa kuwahi kutokea!
 
Na walikufa raia wa Marekani wangapi katika hiyo ndege? So unaona ni sawa kutungua ndege na kuua raia wako mwenyewe kisa Marekani 1988 alitungua ndege yako? Kisasi cha kijinga kabisa
Labda walikuwa wanafanya mazoez ya kutungua ndege , au kombora lilipiga Kona kama risasi ya akwilina 😀 , USA amefanya shambulizi moja ambalo accuracy yake ni 💯 , walimtafuta mtu mmoja na wakamchakata huyo huyo bila kukosea ,
 
Iamriwe alipe fidia wahanga wote na shirika LA ndege,akikataa wamtwange vikwazo zaidi.
Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda walikuwa wanafanya mazoez ya kutungua ndege , au kombora lilipiga Kona kama risasi ya akwilina 😀 , USA amefanya shambulizi moja ambalo accuracy yake ni [emoji817] , walimtafuta mtu mmoja na wakamchakata huyo huyo bila kukosea ,

Nacheka sana watetezi wa Iran,ktk hili la kutungua Ndege wangekaa kimya tu! Accuracy 0%,eti hawa ndio wanataka vita na US,waache waendelee kuchonga,this time Drone itakwenda kumsnach Ayatollah moja kwa moja,na wao watatungua tena ndege 5 za Air Iran na kuua raia wao wengi zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
vipi kuhusu 290
Onyesha hata picha bas tuamin , tuone kambi ilivyoharibika, Sisi tunajua zmetokea minor effect na Kwa ukurupukaji wakaua raia zao wasio na hatia , USA imefanya shambulizi moja Tu na wote tuliona zile picha mpak na footage, tuonyesheni na nyie bas
 
Waache wachonge tu,safari hii Drone itakwenda kumsalimia Ayatollah moja kwa moja
 
Hahah Iran ikithubutu kujibu mashambulizi yoyote yale tutatoa kichapo hakijawahi kuonekana-Trump.

Baada ya Mashambulizi kujibiwa Trump akaishia kuandika huko twitter ALL IS WELL, hahah mpk leo amekula kona.

Lengo lao lilikuwa kumuua jamaa,mission imeisha hakuna haja ya malumbano, bas wao wanataka maridhiano , Ila wakikataa tunakiamsha tu kama kawa
images-2.jpeg

dodge
 
Back
Top Bottom