Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hata US walipo Tunguliwa Ile Drone Yao Walikana Kata Kata Lakini Baada Ya Ushahidi wakakubali


Kwani Lini IRAN Walisema Wanataka Kumiliki Nyuklia


Hawana Nyuklia Mnateseka Wakiwanazo C Mtakufa Kabla Hawajazitumia


Poleni Mnooo Kwamateso Muyapatayo [emoji23][emoji23][emoji12][emoji14][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Marekani naye uwezo wake ni mdogo?Maana alishaitungua ndege ya Iran akauwa abiria wote 290.

Ndiyo ulikua mdogo, makosa ya 1980 hayawezi kutokea leo US wala bongo yanatokea kwenye nchi za hovyo kama Iran.

Pili, Iran imetengua ndege ya Ukraine iliyokuwa na abiria wengi wa Iran wenyewe bila hata mmarekani mmoja, how reckless and dumb can one be kujilipua mwenyewe!
 
Si alikuwa ameshupaza shingo kukataa, US alisema toka mwanzo Iran kadungua ndege tena kimakosa Iran wakakataa, lakin sasa Iran inaongea lugha ileile ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unafananisha drone na maisha ya watu?

Hawa wajinga wanajilupua wenyewe kwa ujinga wao, hawa ni kuendelea kuwawekea vikwazo tu bado hawajitambui.
 
Kwan Unahisi IRAN Wapuuzi Sana Mpaka Wachunguzwe Mpaka Visivyohusika Waambata Wa IAEA Kila Mara Wanaenda Hapo Wanateseka 2


URAN(IRAN)Sio Wapuuzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekubali sikiliza vizuri BBC, CNN, sky news, na aljazeera
 
us na washirika wake wakifanya uharifu mashariki ya kati au popote duniani mnaona ni sawa wacha itumike sheria ya jino kwa jino tu.

Sheria gani mkononi imetumika zaidi ya upumbavu wa kuua raia wake wenyewe. Ndege ilijaa wairan bila hata raia mmoja wa marekani na ni ndge ya Ukraine, hapo kalipiza nini.

Hawa wairan hata bongo tumewazidi, our radars can do better kama zao haziwezi kutofautisha missile na commercial jet. Tunaweza kumlinda Makonda let alone Mabeyo kam wao walishindwa hata kumlinda General wao.
 
Unachofanya, ni eti kisa john aliua basi Edward kuua ni sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema mashambulizi haya kuwa na impact ?
Hivi unajua ni mabilioni mangapi ya dora yaliyo tumika kuijenga kambi hiyo iliyo haribiwa?
 
Acheni kupost vitu kishabiki, mtu kashaongezewa vikwazo, we unasema negotiations without preconditions

Sent using Jamii Forums mobile app
US Kama Anataka Kumuweza IRAN Vikwazo Sio Njia Sahihi Vikwazo Kwa IRAN Vishakua Meaningless Atafte Njia Mbadala

Kila Siku Anaweka Mavikwazo Yakipuuzi Unahisi Hvyo Vikwazo Vina Natija Gani Toka Alipo Anza Kuviweka Mpaka Sasa


US=PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa we mkenya naona unatumia kivuri kutungulia ndege kujifariji baada ya baba yako Trump kuufyata.
Hebu pitia coment zako ulizo kuwa unatoa kabla ya Iran kuiharibu kambi ya marekani uone jinsi ulivyo boya.
Teh tehe teh eti kuharibu kambi,wangapi walikufa na majeruhi pia ni wangapi bila kusahau tuletee hapa hasara ya Mali na vitu iliyotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING: Rais wa Ukraine ameitaka Iran kuomba radhi hadharani kwa kuiangusha ndege ya Ukraine, kuanzisha uchunguzi ili kuwafichua wahalifu, kurudisha miili na kisha kulipa fidia kwa familia za waathiriwa. Taarifa hii ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine.

The President of Ukraine demands that Iran should publicly apologise for downing the Ukranian aircraft, open an investigation to bring the culprits to justice, return the bodies and pay compensation to families of victims.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…