Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Ni kweli, na ndo maana Iran naye kaiga. duh! Ila kaua RAIA wake 82 kwa kuiga upuuzi.Hata marekani alishatugua ndege ya abiria ya Iran flight 655 mwaka 1988 walikufa watu wote 290 waliokiwepo kwenye ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app