Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakutana Jumatatu kujadili shambulio la Israel dhidi ya Iran, rais wa baraza hilo, Uswisi, alisema Jumapili.

Ujumbe wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa ulisema kuwa mkutano huo umeombwa na Iran kwa msaada wa Algeria, China, na Urusi.

"Vitendo vya utawala wa Israel vinawakilisha tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa na vinaendelea kudhoofisha eneo ambalo tayari lina msukosuko," alisema Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, katika barua yake kwa baraza hilo lenye wanachama 15 Jumamosi.

Source: Reuters
 
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
Chanzo cha habari!
 
Walipoishambulia Israel walikuwa wanatekeleza mkataba Gani wa umoja wa mataifa??
 
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
Naanza kuona waarabu wanatumia akili zao vizuri sasa.

Marekani na NATO walidhani jamaa atainua mishale kujibu shambulio la jana.

Vita ni uhayawani mkubwa
 
Back
Top Bottom