Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.

Naamini wanajua kwamba wameamua kuchekesha walionuna...
 
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
Na bado hajasema na atasema tu Netanyahu nyooosha kabisa hao kenge.
 
Back
Top Bottom