Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Haya masenge kweli.

Walipoishambulia Israel walikuwa wanatekeleza mkataba Gani wa umoja wa mataifa??
Naona hilo tusi ujirudishie mwenyewe.
Mbona Israel ni yenye kulalamika UN kila ikiguswa!?
Kwahiyo Israel kulalamika ruksa ila Iran ikilalamika wasenge!??
Aisee akili za wabongo bana.
Tena Israel ikiguswa inaenda UN ila kufuata sheria za UN haitaki ikikutwa na makosa.
Tulieni Iran inatumia njia zenu wagalatia soon mtatema bungo.
 
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakutana Jumatatu kujadili shambulio la Israel dhidi ya Iran, rais wa baraza hilo, Uswisi, alisema Jumapili.

Ujumbe wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa ulisema kuwa mkutano huo umeombwa na Iran kwa msaada wa Algeria, China, na Urusi.

"Vitendo vya utawala wa Israel vinawakilisha tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa na vinaendelea kudhoofisha eneo ambalo tayari lina msukosuko," alisema Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, katika barua yake kwa baraza hilo lenye wanachama 15 Jumamosi.

Source: Reuters
hahahahha wakati wao wanawashambulia Israel wala hawakupeleka ombi Umoja wa Mataifa!ila kawagusa kidg tu wameshakimbilia UN
 
Kama ni kweli Iran kafanya ivo bhc tutaona umoja wa mataifa utakua upande gani?
US imewekea vikwazo nchi nyingi mnoo
Leo hii watu wanakasirika taifa teule lisipigwe ban
Ni mwendo wa Veto tuu
 
IRAN wakupongezwa sana mana watu awataki kutumia akili kujua ukweli wa tukio jinsi lilivopangwa marekani n Israel walicheza mchezo mchafu kwann nasema aya Iran ni njia ya ndege nyingi zinapita apo tofauti na Israel sasa kitendo Israel n mwenzie kwenda na ndege eneo ilo likiwa anga lake alijafungwa ilikiwa hatari kubwa kwa ndege zilizokuwa zinapita wkt uleule nawao wanashambulia naamini walitaka Iran aingie kwenye mgogolo kama siku za nyuma na ile ndege ya Ukraen inamana kama Iran ingechagua kutarget ndege adui basi leo tungekuwa tunaongea history tofaut mana zingeshushwa na ndege zakibiashara zilizokuwa juu y anga wkt uleule Israel n mwenzie wanashambulia apo IRAN apewe mauwa yake. Kwann tusiwape mauwa nawapa kifano hai syria walifanyia mchezo kama huu ndege ya kijesh ya Israel ilijificha juu zaid n chini yake kuna ndege ya Urusi kubwa ikiwa na wajeda 15 syria ilipojaribu kupambana n ile adui ikajikuta imeishusha ndege ya Urusi nchi rafiki yake iyoirinda syria!!! Vita ya Ukrani hii inayoendelea n Urusi mwanzo mwanzo wa hii vita kulitokea tukio kama ili tena ndege ya air malaysia ilishushwa na abiiriawake walikufa wote. Kwanini nimeita mchezo mchafu sababu IRAN kila akipata fununu kuwa atashambuliwa alikuwa akifunga anga ili uyo mshambuliaji asipate shida lkn wakawa nawao wanasitisha kushambulia Iran akifungua anga nawao wanaanza mipango yao Iran alishafunga anga mala3 lkn zote awakushambulia unajua kwann awashambulii ikiwa anga limefungwa niwazi IRAN ingeweza ziangusha ndege zote zilizoshambulia kwake pengine ata kabla azijarusha missile na kwann ni mchezo mchafu USA na kibalaka wake walipojua tu sasa Iran ashafunga angalake, wao wakakimbiza ndege zao zilipotokea leo tungekuwa tunabishana ishu zengine apa Iran bado watoto kumiliki air defensi na mengine wkt tim Israel ikiona Iran zaifu ety awajatungua ndege ata moja. Wazungu wa tukio ili limewavuruga kias awaelewi Iran kapata wapi uzoefu wakijesh w kila idala wapo fiti majini wako ok angani wapo ok ardhin wapo ok awa jamaa wamepatia wapi uzoefu wa aya. Asubui njema watanzania wenzangu mungu atujaalie ktk kutafuta kwetu,
Unajiona bonge la mchambuzi,rudia tena kusoma haya mashudu yako kama hujajiona mjinga.
 
Duh si walisema Israel ikijibu wao watalusha makombora elf kumi sasa imekuwaje tena
Usiwe mjinga na wewe., hiyo ni kama kuwahi kupeleka hayo malalamiko ili ionekane Israel inavunja sheria na miakataba ya kimataifa lakini haimaanishi kwamba Iran haitaiadabisha Israel.
Wewe hufahamu chochote kuhusu mikataba na sheria za kimataifa

Kwanini hujiulizi russia kwanini haipigi nuclear kule ukrean ili mambo yakaisha? au kwanini US hawaipigi urissi nuclear mambo yakaisha ni kwamba wanabanwa ni sheria za kimataifa vita vinaenda kwa hatua. Mpaka leo US hawajawaruhusu Ukrean kutumia long range kuipiga russia moja kwa moja ni kwa sababu hizo hizo.
 
Aliyeandika barua ni Iraki kulalamikia Israel kutumia anga lake kushambulia Irani.
 
Hawa Iran ni mazwazwa haswaa!
Wamesahau wao ndio wameshambulia Israel tena mara mbili!
 
Iyo inaitwa for the records, Yajayo yana furahisha.

Sipendi vita, ila nafurahi kuona ngozi nyeupe zikionja madhara ya vita, kwasababu wamekua wachochezi sana wa amani barani africa bila kujali, maisha ya raia
 
Back
Top Bottom