babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Bado hawajaloloma,mpaka waite maji mma.
Israel bondabonda hao,mi nipo nyuma yenu mkishindwa.
Naongea nikiwa kipawa
Israel bondabonda hao,mi nipo nyuma yenu mkishindwa.
Naongea nikiwa kipawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran iliposhambulia Israel Israel ilishtaki UN?Mbona ilisharusha huko nyuma na hakuna aliyewalaumu. Si wamesema watalipua Miji ya Israel, walipue tu.
Sisi tumejipanga vipi iwapo jirani yeyote mwembamba au mrefu atatuchokozaCheck iran ilivyo tungua makombora ya Israeli kudadeki
View attachment 3136860
Vile vibinti 4 vya israel havina adabu kabisa juzi wakiwa na F-35 zao waliacha anga la tehran uchi wa nyamaCheck iran ilivyo tungua makombora ya Israeli kudadeki
View attachment 3136860
NdioIran iliposhambulia Israel Israel ilishtaki UN?
Israel ilisema itajibu mapigo effictivellyIran iliposhambulia Israel Israel ilishtaki UN?
Tutagawa bandari ya bwagamoyo jamaa ashushe shehena za proxy wake kule kwa kina soda ya bembaSisi tumejipanga vipi iwapo jirani yeyote mwembamba au mrefu atatuchokoza
Hapa Mada ni Iran Vs Israel sijaona sehemu yoyote ilipotajwa Ukafiri sasa acha kuharibu huu mjadala pamoja kufahamu shida zenuHao ni Muhammadans ambao ni dini ya wanafiki zaidi duniani.
Yako wapiMsijitoe akili hapa Israel ndio anaongoza kulialia pale UN mpaka wanaingia na mabango kwani hatuoni?
Hongera sana !Yako wapi ndio nn ukweli wenyewe taarifa zinaendelea kuvuja walirusha wakiwa nje na taarifa latest Arzebaijan pia kuna makombora yalitokea huko
Kama hujawahi kuona basi itoshe kusema hapa umevamia mambo mengi hujui Rudi chitchatYako wapi
⚡️🇮🇱🇦🇿🇺🇸❌🇮🇷 - An Iranian Resident who's witnessed the Israeli Attack on Shahrud stated:Hongera sana !
What was strange & worrisome was the flight path of the missile from North to South.
Iran haiwezi thubutu kutuma ndege zake kwenda kwenye anga la Israel au karibia na Israel ndiomaana anarusha vidrone na makombora kutokea kwake, lakini Israel imemuonyesha kuwa ni mbabe wa mashariki ya kati kwa kuingiza ndege zake 100 kwenye anga la Iran, yaani Iran imeshindwa kabisa kudondosha hadi F16? aibu gani hii?⚡️🇮🇱🇦🇿🇺🇸❌🇮🇷 - An Iranian Resident who's witnessed the Israeli Attack on Shahrud stated:
It seems that the projectiles used to attack "Parchin", "Khojir" and "Shahrud" Bases were launched over the Caspian Sea, from the Direction of the city of "Baku", Azerbaijan.
One thing to note is that there is an Air-Base in the city of "Baku" that is most likely used by Israel.
Hebu kaa kwa kutulia unaandikaje kama mlevi wa banabana ..hivyo vitu ulivyovitaja havijawahi kutokeaIran aliingia kichwa kichwa.
Alitegwa akaingia.
Iran ndio mzalishaji wa Magaidi duniani.
Urusi, China na Korea hawawezi kuisaidia Iran, wanajua na wote walisha lipuliwa na vibaraka wa Iran.
Ni lini nchi ya haki inayo watukana makafiri na isaidiwe na hao hao makafiri wanao wauwa ?
Msaada wa ukweli wa Iran utatokea Afghanistan na Somalia tu.
Unaniita Kafiri, nikusaidieje na kwa manufaa yepi?
Ayatollah hafiki xmas
Tumia akili itakusaidia. Mmoja wapi ni huyu anaezungumzalakini, si tulishakubalina kuwa Wayahudi halisi walishakufa na Masalia yao ni Wapalestina.
sasa hawa Wayahudi waliopokelewa na Waislam ni wapi?.
Tumia akili itakusaidia. Mmoja wapi ni huyu anaezungumza. Wayahudi wanasema waliowachinja wenzao ni Wakiristilo. Mjerumani pekee aliua million 6 sio zamani ni 1940 na wapo wachache wanaishi wanaotwa “ holocust survivor”.
Usiufunike ukweli huu, miaka na miaka nyuma wauwaji wakuu wa wayahudi ni watoto wapDri.