Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

lakini, si tulishakubalina kuwa Wayahudi halisi walishakufa na Masalia yao ni Wapalestina.
sasa hawa Wayahudi waliopokelewa na Waislam ni wapi?.

Kulikuwa na ujahilia enzi zilee ndio huu hapa. Kubishana na jahli ni kupoteza mda. TAfuta mtu anajua lugha unayoitwa English akusaidie kufahamu hiyo task yako ya mwanzo halafu rudi humu usndile huyu kasema nini
 
Watu huku ni wajinga na wana ushabiki mwingi ..iran amerumia diplomasia ya juu ili akishusha mvua ya makombora watu wale wanafki waanze kusmea Israeli ana haki ya kujilinda
Iran yuko overrated na waislamu wa Sunni hana kitu kabisa.
 
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.

Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakutana Jumatatu kujadili shambulio la Israel dhidi ya Iran, rais wa baraza hilo, Uswisi, alisema Jumapili.

Ujumbe wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa ulisema kuwa mkutano huo umeombwa na Iran kwa msaada wa Algeria, China, na Urusi.

"Vitendo vya utawala wa Israel vinawakilisha tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa na vinaendelea kudhoofisha eneo ambalo tayari lina msukosuko," alisema Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, katika barua yake kwa baraza hilo lenye wanachama 15 Jumamosi.

Source: Reuters
Iraq pia nao wameshitaki kwamba anga lao lilitumika kuishambulia Iran😀
 
Iran kapigwa vibaya sana Israel yeye hakutaka kurusha mabovu ya maangamizi dhidi ya raia bali alikua na malengo yake ambayo yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.kwanza kabomoa kiwanda cha kutengeneza drone au ndege ziszo na rubani,pili kabomoa kambi kadhaa za jeshi ambazo zinahifadhi siraha na kuteketeza maelfu ya siraha,tatu kabomboa maeneo yaliyokua yanatengeneza mafuta ya kurusha balistac misslle ni pigo moja kubwa sana kumbukeni Rusia alikua anategemea sana hayo mafuta magumu na drone toka irani.
Nne Israel kabomoa ule mfumo wa kujilinda wa usalama wa iran ambao una gharama kubwa sana.
Mapigo haya ni tosha kwa iran kukimbilia UN
 
Kulikuwa na ujahilia enzi zilee ndio huu hapa. Kubishana na jahli ni kupoteza mda. TAfuta mtu anajua lugha unayoitwa English akusaidie kufahamu hiyo task yako ya mwanzo halafu rudi humu usndile huyu kasema nini
Rafiki,ikiwa hayo maarifa unalonilingishia yamejificha kwa lugha ya kigeni tu,basi siyataki.
 
Ulitaka wafungishane ndoa za jinsia Moja kwenye nyumba za ibada kama nyie?!!!
Mbona mnafungishana na ndio mnaongoza kwa kufirana hapa duniani? Dini ya wanafiki hiyo. Wanakataa kula nguruwe huku wanakula na kuliwa mikundu.

Pumbavu kabisa.
 
Mbona mnafungishana na ndio mnaongoza kwa kufirana hapa duniani? Dini ya wanafiki hiyo. Wanakataa kula nguruwe huku wanakula na kuliwa mikundu.

Pumbavu kabisa.
Upinde wewe unayehudumu bottom mbona una hasira sana kama uliyekimbiwa na aliyekuvisha Pete?!!!!😳😳😳
 
Back
Top Bottom