stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Mikwala...Duh si walisema Israel ikijibu wao watalusha makombora elf kumi sasa imekuwaje tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwala...Duh si walisema Israel ikijibu wao watalusha makombora elf kumi sasa imekuwaje tena
Mkuu Iran sio muarabu ni Waajemi wale basi ni hivyo tuNaanza kuona waarabu wanatumia akili zao vizuri sasa.
Marekani na NATO walidhani jamaa atainua mishale kujibu shambulio la jana.
Vita ni uhayawani mkubwa
Hivyo hivyo mkuu.Mkuu Iran sio muarabu ni Waajemi wale basi ni hivyo tu
Kama ni kweli Iran kafanya ivo bhc tutaona umoja wa mataifa utakua upande gani?Naanza kuona waarabu wanatumia akili zao vizuri sasa.
Marekani na NATO walidhani jamaa atainua mishale kujibu shambulio la jana.
Vita ni uhayawani mkubwa
Tatizo Lugha😆😀Nenda sky news. Halafu uwe mtu wakufuatilia vyombo vya habari za kimataifa.
Myahudi wa vigwaza ushasema unadhani atabisha 😂Iran hasemi tu, kipigo Cha juzi kimemuathiri sana. Kimemrudisha nyuma miaka 30 kijeshi. Taratibu mtajua.
Ila sidhanii kama wamekuzidiHawa jamaa wanadhihirisha walivyo wajinga!
UKielimishwa sikiliza ikifaa chukua isipofaa acha, kitendo cha kuelezwa kitu fulani alafu ukawa unajibu jibu kwa namna fulani si adabu mkuuHivyo hivyo mkuu.
Akiitwa mwarabu kwani hatonyoosha kidole juu?
Ukiona hivyo umepuyanga mkuu.UKielimishwa sikiliza ikifaa chukua isipofaa acha, kitendo cha kuelezwa kitu fulani alafu ukawa unajibu jibu kwa namna fulani si adabu mkuu
Juzi kuna wachambuzi mchwara si walisema Israel ilirusha makombora ikiwa nje ya anga la Iran?Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.
Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
We jamaa nimeamini ni mpuuzi.Inatungua makombora gani?. Mbona ni hewa tu?. Onesha kombora linalotunguliwa
Alisema atamsaka adui yake popote alipo.Na bado hajasema na atasema tu Netanyahu nyooosha kabisa hao kenge.
Kwani mpaka sasa una habari tofauti na ile?Juzi kuna wachambuzi mkwara si walisema Israel ilirusha makombora ikiwa nje ya anga la Iran?
Yako wapi sasa.
Sasa wanaposema mashambulizi yalikuwa madogo sana sasa wanalalama nini huko UNSC???Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.
Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
Kuanzia mleta mada hadi wagalatia wengine ni watu wasiokua geopolitics huwa zinachezwa vipi.Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.
Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945 unaokataza nchi moja kuvamia nchi nyingine Kama uchokozi. Iran inaiomba Baraza Kuu kuiwekea vikwazo Israel kwa kuvunja mkataba huo wa umoja wa mataifa.
Mkataba wa AllahHaya masenge kweli.
Walipoishambulia Israel walikuwa wanatekeleza mkataba Gani wa umoja wa mataifa??