PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Acha ufala wewe, dunia haiendelei kwa kuitikia tu "Aaamin", ukishakuwa netizen ukajikuta platform moja na watu mna chat nao nasi unaona wote ni kama wewe katika maisha halisi.Pambana na matatizo yako achana na Iran,hata kama ametengeneza fake,nyie mnao huo uwezo?
Mlokole naona hii habari imekuchoma kama Pasi,endelea tu kununua maji ya upako na Iran waache na mambo yao,
Wewe kama una utaalamu zaidi endeleza kwenu huko kwa kutengeneza hiyo Air defence na iwe accurate,au nyie ndio wale wataalamu wa maandishi tu Jamiiforums?
Au umafikiri watu wapo hapa kujitambulisha wanafanya nini? Hapo watu tupo ku challenge na compliment vinavyofanywa, kama wewe hiyo inakuuma unaweza ukajiyoa tu. Haulazimishwi kuwepo.