Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

Pambana na matatizo yako achana na Iran,hata kama ametengeneza fake,nyie mnao huo uwezo?

Mlokole naona hii habari imekuchoma kama Pasi,endelea tu kununua maji ya upako na Iran waache na mambo yao,

Wewe kama una utaalamu zaidi endeleza kwenu huko kwa kutengeneza hiyo Air defence na iwe accurate,au nyie ndio wale wataalamu wa maandishi tu Jamiiforums?
Acha ufala wewe, dunia haiendelei kwa kuitikia tu "Aaamin", ukishakuwa netizen ukajikuta platform moja na watu mna chat nao nasi unaona wote ni kama wewe katika maisha halisi.
Au umafikiri watu wapo hapa kujitambulisha wanafanya nini? Hapo watu tupo ku challenge na compliment vinavyofanywa, kama wewe hiyo inakuuma unaweza ukajiyoa tu. Haulazimishwi kuwepo.
 
Umeandika upumbavu,majisifu kibao huna lolote la maana uliloandika hapa,endelea kuumia tu ila Iran sio mwenzenu,

Wewe na utaalamu wako tengeneza hiyo Air defence system kama ya Iran,acha kutupigia kelele hapa,wanaume wanatengeneza vyao halafu unakuja wewe kuwakosoa,tengeneza vyako.
 
Utazidi kuwa fala hivyohivyo kenge wewe. Mimi nina muda wa kujisifu kwa kiburudisho kama wewe?
Mimi nimekuonya tu kwamba hatupo hapa kujionyesha, wewe kwa akili zako za kifukara umeona nimejisifu. Endelea kunishindanisha na Iran, ulivyo punguani.
Wewe vingapi unavyopinga tena bila hoja bali kwa makasiriko tu, lakini hakuna mtu aliyewahi kukwambia tengeneza chako?
 
Watu wa dini Bongo Huwa wanatafsili harakati za kiteknolojia kwa nchi za mashariki ya kati kama mchakato wa kupambania imani Yao, watu wa mashariki ya kati nao harakati zozote katika science ni kwa ajiri ya kulinda race Yao kwanza, ndio maana ukiangalia wakimaliza matatizo Yao Huwa wanawageuka blacks bila kujali imani yao,, tumeona mauaji ya mtu mweusi Israel ,Lebanon na hata misri
 
Nyie machoko hua mnaamini kila mtu ni kiburudisho kama mlivyo nyinyi,wewe punguani nikufananishe na Iran?

Wewe kichwani ni mweupe tu huna lolote,unaumia kwa maendeleo ya Iran,hakuna hoja ya maana uliyoiweka hapa zaidi ya kuonyesha upumbavu wako tu.
 
Wewe Iran kutengeneza Anti air defense system inakuumiza kwa namna yeyote ile?
 
Iran hana uwezo wa kuzuia F-35, na akileta hayo madude utashangaa yanatandikwa kabla ya kutua Lebonan na Syria, Lebanon hawezi kupokea labda awape Hezbollah
Sasa mbona hueleweki dada . Lebanon hawezi kupokea au Iran hawezi kuzuia F 35? Hezbollah ndio Lebanon Kama ulikua hujui halafu watu washafanya research na wanajua wanachofanya .wewe endelea kuweka bando utapata ripoti hapa hapa JF.
 
Sasa tuseme tu ukweli sisi wamatumbi ambao mpaka sasa tunapambana kujenga matundu ya vyoo mashuleni na waajemi wanaotengeneza anti air systems nani anajua zaidi? Ndio maana nimekushangaa mkuu ila sijakudharau usinielewe vibaya.
Mlipo ninyi ndiyo level zenu, mna kila haki ya kushangaa, nilipo mimi ni lazima nihoji. Kwani mnapokosoa dini za wenzenu humu ninyi kuna dini mlizowahi kuzianzisha, au huwa mnashiriki mijadala bila kuangalia wigo wake?
 
Nyie machoko hua mnaamini kila mtu ni kiburudisho kama mlivyo nyinyi,wewe punguani nikufananishe na Iran?

Wewe kichwani ni mweupe tu huna lolote,unaumia kwa maendeleo ya Iran,hakuna hoja ya maana uliyoiweka hapa zaidi ya kuonyesha upumbavu wako tu.
Wewe ni kiburudisho tu. Mimi huwa siumizwi ma mafanikio ya mtu, ukifanikiwa mimi najifunza, hiyo mdiyo principle yangu. Ila hainifanyi kuwa fala eti nisihoji. Watu tinahoji hadi kazi na mapenzi ya Mungu, itakiwa kazi za Iran!!
Wewe lazima utakuwa ni kashata, ya machicha ya nazi si bure.
 
Mlipo ninyi ndiyo level zenu, mna kila haki ya kushangaa, nilipo mimi ni lazima nihoji. Kwani mnapokosoa dini za wenzenu humu ninyi kuna dini mlizowahi kuzianzisha, au huwa mnashiriki mijadala bila kuangalia wigo wake?
Kumbe na argue na mlokole haya kaendelee kubishana na wengine mimi siyo size yako.
 
Wewe ni kiburudisho tu. Mimi huwa siumizwi ma mafanikio ya mtu, ukifanikiwa mimi najifunza, hiyo mdiyo principle yangu. Ila hainifanyi kuwa fala eti nisihoji. Watu tinahoji hadi kazi na mapenzi ya Mungu, itakiwa kazi za Iran!!
Wewe lazima utakuwa ni kashata, ya machicha ya nazi si bure.
Ndio maana nkwambia kua nyie mapunga hua mnaamini watu wote ni kama mlivyo nyinyi,wewe endelea tu kupigwa paipu ila usijifananishe kua na wengine ni kama wewe,

Huu uzi umekuumiza sana wewe mjane,empty set.
 
Nimesoma tayari wana mpango wa kuupeleka Lebanon na Syria View attachment 2907304
Syria kuna mifumo ya Urusi imeshindwa, sembuse mifumo ya Iran ambao huwa wanakopi mifumo ya Urusi na leoleo wakiambiwa watoe hela wapewe S-400 bora walale njaa waupate huo mfumo.

Mifumo ya Iran haiwezi fanya kitu mbele ya silaha za Israel, waulize Armenia waliokuwa na air defense systems za Urusi kilichowakuta pale Azerbaijan walipotumia silaha za Israel na Uturuki. Sasa imagine Iran inazidiwa na Urusi kwenye ulinzi wa anga.
 
T14 Armata ....

Air defense system aina moja pekee haiwezi kuwa accurate asilimia zote, lazima kuwepo na aina zaidi ya moja ya AD ili kutoa support.
Kama air defense systems za Iran zingekuwa bora, isingenunua S-300 PMU2 kutoka Russia.

Maofisa wa Iran walikagua mfumo wa Urusi wakajiridhisha nao wakanunua batteries kadhaa zenye launchers nyingi. Wakanunua na associated infrastructure na logistics zake. Hivyo hawana mfumo waliotengeneza wenyewe unaozidi S-300 PMU2 pamoja na kwamba wamekopi.
Labda walete modernization au upgrade ya mifumo yao kama Bavar ndio wafike level ya S-300 au waizidi, ila kufikia S-400 sio leo wala kesho.
 
Itakua safi sana, makafiri watakipata wakitakacho mbele ya wanaume
Hapo ulipo unaishi kwa hisani ya makafiri 98%. Ukisema usitumie bidhaa za makafiri utabaki na
1. Kanzu
2. Quran
3. Kisima cha kujitawazia
4. Mkojo wa ngamia
5. Maji ya zamzam
6. Msikiti hata cement, mabati, vipaza sauti, rangi na mabati makafiri ndiyo wametengeneza
7. Tende
Unapanda usafiri uliotengenezwa na makafiri unaingia msikitini, unatoa pesa iliyotengenezwa na makafiri, unatumia umeme wa makafiri, unaswali kwenye msikiti ambapo rangi ni makafiri ndiyo wametengeneza, unatumia kipaza sauti na mic ya makafiri unaswali😁😁😁
Unatoka hapo unaangalia muda kwa simu au saa iliyotengenezwa na makafiri, unaangalia tarehe, mwezi na mwaka ambao makafiri ndiyo wameweka😀😀😀😀
Unatoka hapo unafika nyumbani unawasha sabufa iliyotengenezwa na makafiri, unasikiliza Qaswida kwa flash iliyotengenezwa na makafiri😀😀😀
Unaangalia Prison Break ya makafiri kwa kutumia tv aliyotengeneza makafiri. Unaingia mitandao iliyotengenezwa na makafiri X, Facebook, JF, Telegram, Instagram, TikTok, Youtube na WhatsApp😂😂😂😂 Unawatukana makafiri😁😁😁😁😁😂😂😂😂.
Hata Bakhera na MO ukiwaambia wasitumie bidhaa za makafiri ndani kwao watabaki na kanzu, mkojo wa ngamia, tende, maji ya zamzam na Quran. Mitambo mpaka king'amuzi vimetengenewa na makafiri😂😂😂😂😂
Hapo umejisifia umesoma kwa elimu yenye mtaala wa makafiri😁😁😁😁😁😁
 
Kama air defense systems za Iran zingekuwa bora, isingenunua S-300 PMU2 kutoka Russia.

Maofisa wa Iran walikagua mfumo wa Urusi wakajiridhisha nao wakanunua batteries kadhaa zenye launchers nyingi. Wakanunua na associated infrastructure na logistics zake. Hivyo hawana mfumo waliotengeneza wenyewe unaozidi S-300 PMU2 pamoja na kwamba wamekopi.
Labda walete modernization au upgrade ya mifumo yao kama Bavar ndio wafike level ya S-300 au waizidi, ila kufikia S-400 sio leo wala kesho.
Kwahiyo mifumonya ulinzi ya urusi sio kitu mbele ya siraha za Israeli?
 
Back
Top Bottom