Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

kukataa kuweka base siyo ndo kuwa anti USA kuna mataifa kibao ya USA lakin hayajakubali kuwa na base!!!

Je tanzania ni Ant US??
 
Hizbulah inashambulia ndani ya Israel kila siku na mwisho wao hatujawahi kuuona sembuse Iran?
Hivi unadhani vita ni kitu rahisi kama kukata mauno?
Yaani Israel ambayo imeshindwa kuufikisha mwisho utawala wa hamas ndani ya Gaza ndo waje wamalize utawala wa Iran ,ebu acha uzuzu.
 
We unaweza kupigana vita ya wanajeshi wanaojificha kwene watu na dunia inakulalamikia

Tofautisha vita na ugaidi…. kwene vita hawaangalii kama kuna raia au nn ni bomu tu

chukulia mabomu ya hiroshima hiyo ndio vita ilivo. kwa mantik hiyo ikifika hatua ya kusurvive au kuperish israel ingeangusha bomu moja la nyuklia gaza na mchezo ungeisha.
Usichambue vita kwa mihemuko kaka
 
Yaani watu wanatembeza mkong'oto waziwazi we unaleta habari za maonesho ya Nane Nane?
 
Ww ndo unachambua kimihemko
Ww ndo unachambua kimihemko na ndio maana unasema kiurahisi eti utakuwa mwisho wa serikali ya Iran kana kwamba vita ni sawa na kucheza mziki unaweza kucheza kwa sitaili unayo itaka, kwa jeshi lipi hilo ililo nalo Israel lenye uwezo wa kufanya uvamizi wa ardhini dhidi ya Iran na kwenda kuipindua serikali yake?
 
kwa uwezo wako mdogo

niambie irani inaweza pigana na nchi ngap kwa pamoja na kuzishinda??
 
Vita si singeli , we unaijua Iran ?
Au unadhani Iran ni wilaya ya Nanyumbu ?
 
Israel peke yake Hana uwezo wa kupigana na Iran,angekua nao angeshafanya siku nyingi,siku zote huwa wanajitahidi kuiingiza USA vitani na Iran
Kwamba yule kafiri putin kashirikiana na Iran kwa sababu yeye peke ake hawezi mpiga ukraine?
 
Yaani watu wanatembeza mkong'oto waziwazi we unaleta habari za maonesho ya Nane Nane?
Mkong'oto wa kuvizia kwa ku press button??
Mkong'oto waziwazi wanaweza hizbollah,wanakwambia tunapiga na wanapiga.
Kafuatilie kambi ya Israel ya Galilee ilivyochakazwa.
Na wameua makamanda wao tena,tegemea majibu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…