Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Tinajua unachomaanishaAnaonekana kama kapungua kidogo bt she looks good.
Kupakatwa tu mkuu,,uwa najiuliza hii pisi inapiga mishe gani mjini hapa
Ana ubavu huo? Watu wanachukulia mambo kirahisi sana.Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.View attachment 2199981
Aisee hata hili swali ni la kujiuliza? Unadhani kwanini anapenda kupiga picha za nusu uchi .uwa najiuliza hii pisi inapiga mishe gani mjini hapa
Kabisa, na usikute kanatafunwa na wenzake hata shule.Kwa malezi ya huyo mtoto
Naona anatengenezwa James delicious mwingine hapa mjini
RIP NDIKUMANA sidhan ungekubali haya yanayotokea Sasa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kakongojoka kishenzi...ni stress ama?Hili gauni alilovaa tajiri unyoya linathamani ya 15 million!View attachment 2199989
Hatari sanaTajiri unyoya jana vinywaji viligharimu 70 millions
DahView attachment 2200344
Unyoya jana alimtunza mtoto wake milioni 10 in cash!
Irene kawa hivi siku hizi, kunani tena?Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.View attachment 2199981
Wakati angenunua kitenge pisi tatu kwa 30 then ashone kwa 50 gauni hilohiloHili gauni alilovaa tajiri unyoya linathamani ya 15 million!View attachment 2199989
Umezaliwa miaka ya 2000?Hii pisi balaaa
Duh watu mna mawazo mabaya sana aisee. Anyway ni kweli kwamba anakamix sana na wanawake ila mkuu hudhani kwamba sio sawa mtoto mdogo kufikiria haya unayofikiri juu yake?Kabisa, na usikute kanatafunwa na wenzake hata shule.