Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Kakongojoka kishenzi...ni stress ama?
Screenshot_20220426-081752.jpg
 
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.View attachment 2199981
Binafsi hua nawaonea huruma zaidi watoto wanaolelewa kwenye aina hii ya maisha kwasababu kuna leo na kesho. Ikitokea kesho mama hayupo au hajiwezi, huyu mtoto atakuja kuishi maisha magumu sana hasa ukizingatia mama hana shughuli ya kueleweka inayomuingizia kipato wala msimamizi wa mali alizo nazo.

Hata kama una hela kiasi gani, jitahidi kumlea mtoto katika maisha ya kawaida ambayo kesho na keshokutwa ataweza kujipambania na kuishi ktk jamii yoyote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom