Wanasema wameanzisha kundi lao wanajiita drama queen yupo uwoya, wolper, sepetu, kajala, lulu, na aunty ezekiel, nimeona wamewabwaga wengine kama shilole naona kachukia huyo🤣🤣🤣😂😂 na shamsa naona amejibembeleza kwa kumsifia uwoya kwenye comment ila ajajibiwa🤣🤣🤣😂😂😂 , shilole ndio kanunaa huyo