Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Serikali kwa sasa lazima iwe makini kwa vitendo kama hivi.

Mtoto wa kiume kumvalisha sketi ni kumuwekea mazingira yakuwa na tabia za kike.

Wanawake wengi wanaweza wasione tatizo lolote hapa lakini haya mambo ni aibu sana kwetu wanaume, huyo mtoto akiwa na marafiki zake, watamuona ni kama binti, watamshusha heshima na na kuanza kumtania ni mtoto wa kike, Mbaya zaidi kuna baadhi ya wanaume wanapoona mvulana kavalishwa hivi wataanza kumtongoza kama binti (hapo kama wewe ni mama subiria mwanao akuletee mme)

Kwa hio kina mama tafadhalini mlee watoto kwa maadili yanavyotaka na si kwa jinsi mpendavyo.

Tukio hili likuwa jumapili 24-4-2022 na cha kusikitisha zaidi ilikuwa ni sherehe ya kipaimara, Sherehe hii ya kitakatifu unavalishaje mtoto vazi la jinsia tofauti ?

A. PICHA
a.jpg

b.jpg

c.jpg

d.jpg

e.jpg

f.jpg

g.jpg

h.jpg

i.jpg

j.jpg


B. VIDEO









 
Wapo wanaosema ni mavazi ya kinajeria,,, Wanaijeria huwa hawavai sketi

E7uWAtwXoAksdJm.jpg
 
Zamani wamama walipambana sana kuwakuza watoto wao ili kuwa wanaume kwenye jamii.

Sasa wamama wanalea watoto wenye jinsia ya kiume.

Cheki jamaa hapo pembeni anasikitika na kushangaa.
 
Kuna siku mtu alifungua uzi kuhusu mtoto wa Uwoya, kuna njemba ikasema imemtamani! WanaJF wakampa lawama kibao mshkaji.

Jiulize watu wa namna hiyo wapo wangapi kwenye jamii!,

Kwa mwenendo wa huyo mtoto nina uhakika watu watatumia hata mtonyo kumfukua tope.

Niiteni mchawi lakini wazazi siku hizi wanatengeneza mashoga wenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom