Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
I thought, we were on a scholarly argument about gender.Well they are not based 'to' gender rather based ON gender.
Si kila jambo la kuigwa ndugu. Lililo kawaida kwa wenzio usifanye liwe kawaida kwako hata kama halikubaliki.
Hiyo ni sketi haijalishi kama ni ya mnaijeria, mjerumeni au mchina na kibongo bongo haikubaliki kwa mwanaume, kama unabisha kuwa ni kawaida tupia picha yako na wewe ukiwa na sketi yako tuone - naandika hivi nikiamini wewe ni ME.