Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Wanasema wameanzisha kundi lao wanajiita drama queen yupo uwoya, wolper, sepetu, kajala, lulu, na aunty ezekiel, nimeona wamewabwaga wengine kama shilole naona kachukia huyo🤣🤣🤣😂😂 na shamsa naona amejibembeleza kwa kumsifia uwoya kwenye comment ila ajajibiwa🤣🤣🤣😂😂😂 , shilole ndio kanunaa huyo
 
kwa mfano , Hii ilikuwa jana, huyu ni mtoto wa muigizaji flani jina limenitoka kidogo

kwa juu kiunoni hadi kichwani ni vazi la kinaijeria lakini hapo kweye sketi huwezi kumkuta hata Davido kavaa hivi,

mavazi ya kinigeria yapo hivi

1650999536460.png

hii sketi haiwahusu wanaijeria, ona illvyombana huyu mtoto kunako usawa wa kiuno,

Shot 0002.png

Shot 0005.png

Shot 0009.png

Shot 0012.png

Shot 0016.png
 
Halafu watu wakianza kumuita mwanae shoga anakuja juu.

Sisupport kudhalilishwa mtoto kwa kuitwa shoga kutokana na muonekano wake lakini kuna baadhi ya mambo huyo mama anachangia kumtukanisha mwanae.

Na wale wanaosema hayo ni mavazi ya kinigeria, yapo ya aina nyingi yasiyojumuisha sketi kwanini achague ya sketi.
 
Hiyo sio sketi ni vazi la kinaija.
 
Sio makosa yangu kwa wewe kutojua literary meaning.
There is nothing literal on the examples you have given. The point being made was the kind of cloths a child has been made to wear considering his gender.
There would have been a bit of relevance should the function have happened in Nigeria (in consideration of your Buckingham and Japan examples) thus my rhetorical question (I expected no response).
Anyway to each his own. Usiku mwema.
 
And who has told you that clothes are worn based to gender? If you're in Dar es Salaam, go to Open University, Biafra Office and ask to see Professor Mary Kitula. You'll get a good lesson on gender!
 
And who has told you that clothes are worn based to gender?
Well they are not based 'to' gender rather based ON gender.

Si kila jambo la kuigwa ndugu. Lililo kawaida kwa wenzio usifanye liwe kawaida kwako hata kama halikubaliki.

Hiyo ni sketi haijalishi kama ni ya mnaijeria, mjerumeni au mchina na kibongo bongo haikubaliki kwa mwanaume, kama unabisha kuwa ni kawaida tupia picha yako na wewe ukiwa na sketi yako tuone - naandika hivi nikiamini wewe ni ME.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom