mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Waambia wahamie kabisaKama ni kweli wamekosea. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambia wahamie kabisaKama ni kweli wamekosea. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba.
Kivipi??, Mbona watu mnapenda unaa hivyo?!!!.Hii ikifanywa na waislam ingechukuliwa tofauti, bora wamefanya hao
Yule jamaa anapiga pesa balaa, alafu nyingi za waislamTABIA mbaya hawataki mposaboy asipige hela[emoji23]
Wakatoliki hatubembelezi mtu,kwasababu hata Yesu Kristo mwenyewe hakumbembeleza mtu ukikosea anakupa makavu,ukitaka kumfuata au kumuacha ni juu yako mwenyewe.Rejea Injili ya Yohane Sura ya sita,aliposema kuwa "Alaye mwili wake na kuinywa damu yake ana uzima wa milele",Wafuasi wengi walikwazika sana kwa maneno hayo hivyo wakarudi nyuma,yeye hakuwabembeleza zaidi sana aliwahoji wale mitume wake kuwa"Ninyi nanyi mwataka kuondoka??".Kwa hiyo hakuna kubembelezana kwenye hbr za kuutafuta Ufalme wa MUNGU.Hata Petro aliwahi kuambiwa na Yesu "Rudi nyuma yangu shetani",leo hii Padre au mchungaji amwambie hivyo muumini uone kivumbi chake lkn Petro alibaki na Yesu.Hakuna kubembelezana narudia.Nyakati hizi waumini wanabembelezwa sana maana makanisa ni mengi unaweza ukaenda kusali kanisa lolote tu ila katoliki mapato yatapungua
Yaan we acha tu.....wanakuwekea bifu mpaka ukiwa marehemu!!!Na RC HUWA hawatanii utasikia na ukifa hatukuziki hata kama mkisafirisha hatuwapi barua ya utambulisho huko muendako.
Mwamposa Ni mganga wa kienyeji anayevaa sutiNa wanaokwenda kwa waganga inakuaje
Kanisa katoliki halitambui haki za kikatiba alizopewa muuminiKama ni kweli wamekosea. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba.
Unaanzaje kumzuia mtu kumuabudu MUNGU?Sasa wamerudi katoliki kufata nin
Kazi ya sala ni nini? Kwa kwa nini wakatoliki huwa wanasali na hata kufunga siku arobaini.Huwa wanaomba nini? Ili iweje?Mtu yeyote mwenye akili akisoma huo waraka atakuwa upande wa kanisa, Yani watu wanaambiwa waombewe ili wawe matajiri kitu ambacho hata Yesu hakufanya, Kama hufanyi kazi huwezi kuwa tajiri
Anayependwa na wengi wakiwemo wakatolikiMwamposa Ni mganga wa kienyeji anayevaa suti
Nimeshangaa juu ya tamko lao kuhusu uponyaji wa magojwa, nanukuu:Kuna story moja ndani ya biblia ipo very interesting, inafanana sana na wanachofanya hao mapadre wakatoliki,
Yohana 9: 16...., nakazia mstari wa 22 na 25
Ishu hapo ni kuhusu kuchanganya imani,mtu abaki ktk Imani moja.Unaanzaje kumzuia mtu kumuabudu MUNGU?
He mbona tunaenda kwa waganga na walozi Kisha tunarudi kanisani hatufukuzwi?
Kanisa ni kwa wale tuliowaovu sio wasafi, hata YESU alikuja kwa ajili ya waovu
Umeshasikia mtu kazuiwa kumwabudu MUNGU kisa alifumaniwa?
Ewaaa!!!,UmenenaKatoliki hawaendeshwi na mihemko, ile ni Taasisi inaendeshwa kwa mifumo thabiti.
Hao wanaotaka 'miujiza' ya papo kwa papo na kutaka utajiri pasipo kufanya kazi na kujiwekea malengo ni 'malaya' wa kiimani.
Uhuru wa kuabudu ni haki yao na ndio maana hawazuiliwi kuhamia huko kwa Mwamposa ila kila kanisa lina katiba na miiko yake.Kama ni kweli wamekosea. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba.
Kwani wewe unahisi huwa tunafunga ili kuomba nini??.Kazi ya sala ni nini? Kwa kwa nini wakatoliki huwa wanataki na hata kufunga siku arobaini.Huwa wanaomba nini? Ili iweje?